Jinsi ya kupata UK Visa


Mkuu maisha ya Afrika Ni kubahatisha, risk, kutoka kimaisha Ni kazi sana hasa vipindi hivi vinavofata Ni tofauti ya zamani Leo mabepari waliokwisha Toka kipindi cha Mzee Ruksa, wakikuona unaingia kwenye channel zao watakuchomea Na vyovyote vile mtaji wako utakata tuu, kwaiyo saivi huwezi kumkuta kijana miaka 10 iliyopita amekua Tajiri Ama ameuza sembe. Ni walewale tuu kila miaka.
 

Umeandika kitu cha msingi sana mkuu.....bora nikafie huko huko nje tu....
 

dola 5000, huna mwenyeji, hujui life lipoje la huko, na hiyo ni pamoja na nauli, hata mimi nakunyima visa
 
Ni pm nikupe njia ya shotcut ya kupata visa Ila Uwe Na dola 2000, Na benkstatment yako. Hautoi Pesa mpk upate visa, process zote Ni uhakika. Ukiwa uko smart unajielewa kwenye interview Ndio ujibu kwa umakini kinachokupeleka uk.

haapo kwenye blue ndo shida, wale watu ni wana saikolojia ukidanganya wanajua kabisa, sijui wanapimaje asee
 

nirudije bongo sasa, na hiyo hela ya kurudi ntatoa wapi kama nilizamia kihuni, kuna mtu kasema kama ni wa mboga 7 utarudi tu, ila ni kama wa vibarua vya masaa 10 unapewa 5000 to 7000 hakika hawezi rudi maisha
 

Wanaija wanasaidiana sana lakini ni hivi Yoruba anasaidia Yoruba , Igbo anasaidia Igbo , Fulani anasaidia Fulani na si vinginevyo..wabongo huko ughaibuni wanaongoza kwa unafiki ndio maana hawsaidiani kihivyo..ukimsaidia mtu baadae atakuja kukugeuka na hata kukuchoma uhamiaji sasa ya nini yote hayo si bora kila mtu afwe na lwake?? ni hivyo tu maana na mimi ughaibuni nilishaishi napafahamu sana.
 
We need to change,popote tunapokutana wabongo lazima tupendane,unafki na mambo mengine kama hayo hayasaiidi chochote,kwanza inabidi tujitengenezee confidence na misingi mizuri ya kusaidiana kwa vizazi vijavyo.
 
Isome namba tu sasa maana hakuna namna.
 
Kamanda Matola naona umeamua kufunguka safi sana!
 
Mkuu unapoongea khs jamaa wa WestAfrica nakuelewa zaidi kuna mahari nimekutana nao.....Kwanza wanaSprit yakusaka Maisha miongoni mwa vitu vinavyowasaidia kufanikiwa wakifika sehemu wanafanya iwezekanavyo Kuzoeana na MTU na kwakweli wako Very charming Kwakweli nawakubali sana...sio waoga wakusafiri
 
Kama kuna wadada wanaohitaji kufanya kazi kanada naweza kusaidia kupata visa Na wao watalipiwa harama zote Na kampuni ambayo itapendele


U.K. Mkuu
Sio kuuza mwili kweli....!!!
 
Na hii michezo Warundi hapa wanafanya sana na tena wanapitia Bongo, lakini nasikia pia wanachoma vidole sijui ni kweli
Kinachofanyika wanapokwenda kuomba Passport wakati wa kuscan Finger wanavilowanisha na Mate so hata wakiscan huwa hazisomi vzr
 
Kama ulikua umeweka sawa ducoment zako vizuri kwanini udanganye? Shida wengine hata akaweka sawa kila kitu bado anaudhaifu hapo Ndio inatakiwa ujielewe.
Sio kuuza mwili kweli....!!!

Hiyo kazi Ni mapenzi ya mtu wala Sio sababu ya shida. Au kukosa kazi
 
Tatizo wale watoto wanaofikiria wa kisure wakifika mbelez wanagundua mpunga wa dingi zao sio mrefu ki vile kuweza kulipa shule, nyumba, usafiri mbelez. Inasikitisha kukuta wadada wa kisure wamekuwa baby sitter wa wazimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…