Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Hata mama alinambiaga, usihuzunike kwa maneno ya vijiwen eti mwanamke mzuri bila pesa hupati mke "jiamini kwan huwa ni maneno ya wasiojiamini enzi na enzi iko hvyo" akacctiza "mwanamke mwenye tamaa na kahaba cku zote hajui kuchagua anaejielewa ataangalia pesa tu" tokea enz na enzi. Me najiamin na mtafutaji mzuri tu na nahustle kweli kweli cna hela kiivyo sana na mtoto nilie nae I swear to God ni moto wa kuotea mbali na respect ipo. Poleni wanaume wabandia mnaokariri
Ww ni wa dar?
 
Yote hayo kazi bure kama HAUNA hela,kama hela ipo demu mzuri kupata ni guarantee
 
Mie ndio sukari ya warembo.. ulimi wangu unatamka maneno matamu sana., sijawahi kukataliwa ata mara 1..
Fix hizo kijana
Si ulikataliwaga na Chausiku juzi tu pale Manzese darajani
 
Hata mama alinambiaga, usihuzunike kwa maneno ya vijiwen eti mwanamke mzuri bila pesa hupati mke "jiamini kwan huwa ni maneno ya wasiojiamini enzi na enzi iko hvyo" akacctiza "mwanamke mwenye tamaa na kahaba cku zote hajui kuchagua anaejielewa ataangalia pesa tu" tokea enz na enzi. Me najiamin na mtafutaji mzuri tu na nahustle kweli kweli cna hela kiivyo sana na mtoto nilie nae I swear to God ni moto wa kuotea mbali na respect ipo. Poleni wanaume wabandia mnaokariri
Honvera zako basi
 
Yote hayo kazi bure kama HAUNA hela,kama hela ipo demu mzuri kupata ni guarantee
Umeelewa kilichoandikwa?
Sasa buzi linamiliki mtoto mkali sababu ya pesa.....zen mtoto anakuja ghetto kwa handsome kapuku kumegwa kisela
What I mean........
 
Umeelewa kilichoandikwa?
Sasa buzi linamiliki mtoto mkali sababu ya pesa.....zen mtoto anakuja ghetto kwa handsome kapuku kumegwa kisela
What I mean........
Hayo ya zamani sana mkuu na kama yamebaki ni huko mikoani!Dar demu mzuri huwezi piga bila kugharamia

Dar eti demu mkali akuvulie chupi sababu eti anakupenda kila siku anaondoka kwako umemchafua na wazungu bila kumpa chochote?

Thubutu!!
 
Basi endelea kuchunwa...coz huamini
 
930c21ad3eae47b13b25b8cbd61fc2e8.jpg
Huyu mchagga huyu...mbona flat?
 
Nimechoka kuwa mtazamaji ngoja na mimi leo niwakilishe. Nazungumzia namna ya kumpata demu mzuri wa umbo + sura si mnajua matoz hawapendi vinyago.

1/Jiamini
Mtoto wa kiume jiamini kwamba wewe ni bora kuliko wengine haijalishi wewe ni kula kulala wala nini mtoto atakushobokea tu.

2/Kuwa smart
Kismart dili bhana sio unataka mtoto mkali halafu unavaa kizobazoba tu msichana ataona so kutembea na wewe.
Darasa la kupigilia pamba kijanja

Utoke vipi kitaa?

3/Usiwe domokaya
Ukimtaka msichana mkali punguza kidomodomo elewa yeye anajijua uzuri wake ongea maneno ya point tu lazima akae.

4/Usiwe na kiherehere
I mean unamtaka msichana sasa unaanza kiherehere sijui cha kujifanya una mkwanja ooh sijui nini, elewa mtoto mkali lazima awe na kibuzi wewe mega tu kisela si anataka penzi?

4/Acha maigizo
Watoto wakali hawapendi vidume vyenye maigizo kama ya bongo movie, wanapenda mapenzi kutoka kwa mayanki, ishi kama ulivyo isije ukaigiza alafu agundue una magumashi. Be real

***wewe unachunwa, mi namega kisela****

Handsome wa Uswaz
The Bitoz
kuna tofauti kati ya kumvutia demu na kumng'oa.unaweza ukamvutia ila ukawa hujui namna ya kumuingia na kumng'oa.naona ulichokieleza hapo ni kama kumvutia demu
 
kuna tofauti kati ya kumvutia demu na kumng'oa.unaweza ukamvutia ila ukawa hujui namna ya kumuingia na kumng'oa.naona ulichokieleza hapo ni kama kumvutia demu
Tafsiri haiwezi kuwa 1,,,,,,,yote sawa
 
Back
Top Bottom