Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Si ulitaka chai chai iweje unalalamika unaungua. Kila ukipita watu wanakunyooshea vidole ndo yule
Noma sana ikabidi nianzishe kautoro kukwepa sio...ticha akiingia class anauliza "yupo wapi Bitoz pendapenda"....
Nashukuru nilikuwa 4m 4 kwahiyo soo halikudumu sana
 
Nyie asaa hamjui kutongoza.. mnafanya watu waone kutongoza ishu kuuuuubwa kumbe wala sio...
 
Mie ndio sukari ya warembo.. ulimi wangu unatamka maneno matamu sana., sijawahi kukataliwa ata mara 1..
 
Hata mama alinambiaga, usihuzunike kwa maneno ya vijiwen eti mwanamke mzuri bila pesa hupati mke "jiamini kwan huwa ni maneno ya wasiojiamini enzi na enzi iko hvyo" akacctiza "mwanamke mwenye tamaa na kahaba cku zote hajui kuchagua anaejielewa ataangalia pesa tu" tokea enz na enzi. Me najiamin na mtafutaji mzuri tu na nahustle kweli kweli cna hela kiivyo sana na mtoto nilie nae I swear to God ni moto wa kuotea mbali na respect ipo. Poleni wanaume wabandia mnaokariri
 
Back
Top Bottom