Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Mimi nataka nitumie mbinu za mwenyewe ili nikuopoe wewe lizziebettie . For youMwambie Bitoz akupe mbinu za kuopoa msichana mbaya ndio utaweza kuniopoa.

Mimi nataka nitumie mbinu za mwenyewe ili nikuopoe wewe lizziebettie . For youMwambie Bitoz akupe mbinu za kuopoa msichana mbaya ndio utaweza kuniopoa.

Hongera sana.Mwenzio nangekewa na watoto wazuri tangu Primary........
Huko mitiniNaingia mitini
Hahaha ipo siku watakukomeshaNaingia mitini
Ur welcome,![]()
![]()
asante
Hahahahaaa endelea kuwalaKosa langu nini ....si wamenifuata wenyewe ukiwakwepa watasema jogoo haliwiki
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wanasema za mwizi ni 40Nazima simu kabisa +,nablock # halafu nahamia Halotel
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ukiendelea utabambikwa tu.Tatizo magonjwa mengi + kubambikiwa vibendi
Nishawahi kugonganisha magari Sekondari...niliimbiwa taarabu class balaa utafikiri nililala na ng'ombe !! Sio likafika had I kwa classteacher na kutandikwa mbata za kutosha
sipati picha siku hiyo ilikuaje, hatari sana hiyoSi ulitaka chai chai iweje unalalamika unaungua. Kila ukipita watu wanakunyooshea vidole ndo yuleSitasahau huo msala....nikawa maarufu skul kwa sifa mbaya
Natamani mmoja abebe mimba yako kiukweliHalafu kid awe na chogo wkt me sina![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()