Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Wewe nitaweka mpaka siku nikienda mabiboWeka kapicha![]()
![]()
Wewe nitaweka mpaka siku nikienda mabiboWeka kapicha![]()
![]()
Tatizo elimuAmna=Hamna
Haina noumah basi.Week end basi......
Kwahiyo maisha yakitafutwa ndo mtu asiwe hata na mpenzi?Vijana tafuteni maisha cum fedha..haya mengine yatakuja yenyewe....
Tatizo unabana sana waziri mkuuWewe nitaweka mpaka siku nikienda mabibo
Sio vice President. Mambo yakienda sawa. Nitatupia kapicha hahahahaha usijaliTatizo unabana sana waziri mkuu
Una kiri kwamba huna pesa lakini kwa umri wako bado una nguvu na isitoshe una viujanja ambavyo unavielekeza katika zinaa,muda unakwenda piga hesabu baada ya miaka 5 utakuwa wapi? kama bado una nguvu utalinda ma geiti ya wanaume wenzako wakiwa wanakula hivyo unavyovipigia debe.Kwahiyo tutembee na vinyago sio
Hatuna kisu (pesa),lakini tuna sumu + kipande....tutakosaje watoto wakali kwa mfano....
Ukiangalia maudhui ya mleta uzi hamaanishi mpenzi.Kwahiyo maisha yakitafutwa ndo mtu asiwe hata na mpenzi?
Hapo ndo hata mimi nimeona maajabuSi ndo hapa hajui kwamba hata mbuzi na wapenzi.....itakuwa sisi makapuku!!!
Amemaanisha nini ?Ukiangalia maudhui ya mleta uzi hamaanishi mpenzi.
Mmmmmh basi sawaaUkiangalia maudhui ya mleta uzi hamaanishi mpenzi.
Si uendelee kulima huko kwenu km unaamini sina pesa wala maisha ya kueleweka its OK.....Endelea na majivuno yako mpe pesa demu wako zen mi' nameva tu kiselaUna kiri kwamba huna pesa lakini kwa umri wako bado una nguvu na isitoshe una viujanja ambavyo unavielekeza katika zinaa,muda unakwenda piga hesabu baada ya miaka 5 utakuwa wapi? kama bado una nguvu utalinda ma geiti ya wanaume wenzako wakiwa wanakula hivyo unavyovipigia debe.
SHET'ani
I'll wait and see young pauper...Si uendelee kulima huko kwenu km unaamini sina pesa wala maisha ya kueleweka its OK.....Endelea na majivuno yako mpe pesa demu wako zen mi' nameva tu kisela
After 5 yrs nitakuwa Prof wa vilaza + 5 kids bila ukimwi....una swami lingine?