Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Usitafute pesa kwa Dhana
Ya kuwapata warembo wazuri utapoteaa na ngoma, wenye hela zaidi yako tumesha wafukia...acha kuonga tumia hela vzr utapendwa zaidi
 
Usitafute pesa kwa Dhana
Ya kuwapata warembo wazuri utapoteaa na ngoma, wenye hela zaidi yako tumesha wafukia...acha kuonga tumia hela vzr utapendwa zaidi
Wazee wa kuhonga wamekuelewa...
 
fa5f916ed106e18915778b87739ffd39.jpg
 
Nimechoka kuwa mtazamaji ngoja na mimi leo niwakilishe. Nazungumzia namna ya kumpata demu mzuri wa umbo + sura si mnajua matoz hawapendi vinyago.

1/Jiamini
Mtoto wa kiume jiamini kwamba wewe ni bora kuliko wengine haijalishi wewe ni kula kulala wala nini mtoto atakushobokea tu.

2/Kuwa smart
Kismart dili bhana sio unataka mtoto mkali halafu unavaa kizobazoba tu msichana ataona so kutembea na wewe.
Darasa la kupigilia pamba kijanja

Utoke vipi kitaa?

3/Usiwe domokaya
Ukimtaka msichana mkali punguza kidomodomo elewa yeye anajijua uzuri wake ongea maneno ya point tu lazima akae.

4/Usiwe na kiherehere
I mean unamtaka msichana sasa unaanza kiherehere sijui cha kujifanya una mkwanja ooh sijui nini, elewa mtoto mkali lazima awe na kibuzi wewe mega tu kisela si anataka penzi?

4/Acha maigizo
Watoto wakali hawapendi vidume vyenye maigizo kama ya bongo movie, wanapenda mapenzi kutoka kwa mayanki, ishi kama ulivyo isije ukaigiza alafu agundue una magumashi. Be real

***wewe unachunwa, mi namega kisela****

Handsome wa Uswaz
The Bitoz
Inaonekana ww siyo mwamaume wa Dar es salaam, ww utakuwa mwanaume wa mkoani tena mkoa wa kure kwetu muraaaa!
 
Acha zako we bitoz Maneno ya maana ni yapi kwenye tongozo kama sio sifa na mbwembwe?au unataka tuongelee biashara wakati tuko kwenye tongozo?
 
Acha zako we bitoz Maneno ya maana ni yapi kwenye tongozo kama sio sifa na mbwembwe?au unataka tuongelee biashara wakati tuko kwenye tongozo?
Nisogezee demu wako ili nizidi kupata sifa +,kuonrsha mbwembwe
 
Back
Top Bottom