Katika 20 anapatikana mmoja wa aina hiyo
Ukiona unaletewa mazagazaga ujue kuna buzi linachunwa inabidi usiwe na wivu.....
uko radhi kushare ili uletewa mazagazaMsichana mbaya tena, wewe lizziebettie hope you are cute as your nameNa jinsi ya kuopoa msichana mbaya?
Unamega kisela au sioYeye anachunwa mi namega kisera......sina hasara
Hahaa. Nipo kawaida. Sio mbaya sio mzuri.Msichana mbaya tena, wewe lizziebettie hope you are cute as your name
Tayarisha sound usije pata kigugumizi bure....mi na utozy wangu nishawahi rushiwa kasimu changu ...si nilimpa demu flan amazing aingize # yake kwa dharau akaitupa simu chinongoja nitajaribu kesho kwenye daladala la posta nitawavizia watoto wa cbe

Basi jiandae nataka nikuopoe wewe,Hahaa. Nipo kawaida. Sio mbaya sio mzuri.
Mwambie Bitoz akupe mbinu za kuopoa msichana mbaya ndio utaweza kuniopoa.Basi jiandae nataka nikuopoe wewe,
Duuuh ukisha wamega. Mnaishia wapSimple haina formula coz wanajigongesha wenyewe
Mi wakinisumbuaga sana nawamega coz nawaonea huruma