Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

8e5e09cd4a21644c48f5e1236beede36.jpg

Mzee noma
Ahahahahahahaaaaaaa si unaona mambo mayo bitoz,unamwaga sifa za kufa MTU kwanza kisha unatupia swaga lazima anase
 
Hii thread imejaa comments za OP. Umesema mwanaume aache kiherehere alafu wewe mwenyewe ni full kiherehere, tulia watu watoe maoni
 
Nimechoka kuwa mtazamaji ngoja na mimi leo niwakilishe. Nazungumzia namna ya kumpata demu mzuri wa umbo + sura si mnajua matoz hawapendi vinyago.

1/Jiamini
Mtoto wa kiume jiamini kwamba wewe ni bora kuliko wengine haijalishi wewe ni kula kulala wala nini mtoto atakushobokea tu.

2/Kuwa smart
Kismart dili bhana sio unataka mtoto mkali halafu unavaa kizobazoba tu msichana ataona so kutembea na wewe.
Darasa la kupigilia pamba kijanja

Utoke vipi kitaa?

3/Usiwe domokaya
Ukimtaka msichana mkali punguza kidomodomo elewa yeye anajijua uzuri wake ongea maneno ya point tu lazima akae.

4/Usiwe na kiherehere
I mean unamtaka msichana sasa unaanza kiherehere sijui cha kujifanya una mkwanja ooh sijui nini, elewa mtoto mkali lazima awe na kibuzi wewe mega tu kisela si anataka penzi?

4/Acha maigizo
Watoto wakali hawapendi vidume vyenye maigizo kama ya bongo movie, wanapenda mapenzi kutoka kwa mayanki, ishi kama ulivyo isije ukaigiza alafu agundue una magumashi. Be real
1af71fd95fafb772e67c71dc53daa94a.jpg
bfbe558c6d3ee6d00cfe89d53a783e03.jpg
ef60901be0a11f24d67ec69dfe8677ff.jpg


***wewe unachunwa, mi namega kisela****

Handsome wa Uswaz
The Bitoz
Dah... mwana sasa mbona unatumia gharama kubwa kumega kisela kuliko yule anayehonga? Time imebadilika chief usihangaike kufuga ng'ombe wakati una uhakika wa maziwa. Nunua maziwa yako kunywa fasta kisha kacheki michongo. Usizubae final uzeeni
 
Dah... mwana sasa mbona unatumia gharama kubwa kumega kisela kuliko yule anayehonga? Time imebadilika chief usihangaike kufuga ng'ombe wakati una uhakika wa maziwa. Nunua maziwa yako kunywa fasta kisha kacheki michongo. Usizubae final uzeeni

Kumega kisela ndo mpango mzima
 
Mimi sihongi kaka .......siamini ktk kuhonga
Utahonga weeee halafu unagongewa
Dah.. dogo bado hujanisoma. Hapa naongelea gharama... time unatumia kumpigia misele etc hujui gharama kiasi gani unatumia inaweza kuwa zaidi ya kuhonga. Masaa 24 kwa siku ni madogo kwa kijana anayetaka kuisaidia dunia. Tumia social networks ni simpo tu... una click kisha unaclick tena baaasi
 
Back
Top Bottom