Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Wakuu salam!

Mwenzenu nimeota kakitambi ambako kanatishia utendaji kazi wa usiku!mbaya zaidi naona hata kitendea kazi kinapungua ukubwa!hata zile well done nilizokuwa napewa na shemeji yenu sipewi tena!
Wazoefu wa vitambi,ushauri pls ni style ipi itaendelea kunipa heshima ya familia!?
 
Kaka, pakate au tengeneza umbo "V" ambapo 'ke' atakuwa chali na 'me' kulala ubavu.Miguu ya 'ke'huwekwa juu ya mapa**ya 'me'.Kwa namna hii hakuna mguso wa kitambi na kiwiliwili cha 'ke'.
MAADILI YAMEZINGATIWA!!!!!!!
 
Jibu ni kupunguza kula tu mazoezi ni vigumu kuyadumisha lakini kupunguza kujaza sahani na kula mara kwa mara ndiyo jawabu hapa. usile mpaka ukasika umeshiba kwani hapo tayari umevimbiwa.........Kula na acha chakula kabla ya kushiba kwa sababu inachukua dakika ishirini haivi kwa ubongo kuelewa umeshiba na wakati huo tayari ulikwisha zidisha kipimo............

Kabla ya lisaa limoja usinywe maji na masaa mawili baada ya kula usinywe maji au vyakula vya majimaji kama maziwa au juisi ili kuharakisha usagaji wa chakula na kupunguza kuundwa kwa mafuta tumboni .................Baada ya hapo BABU atarudia umahiri wake na wewe utavuta pumzi haswaaaaaaaaaaaaaaa

Kila la kheri ndugu yangu ila usitegemee mabadilko ya haraka kwani hiyo friji ilichukuwa muda kuijenga na itachukua muda kuiyeyusha ....ukiharakisha utajikuta una ngozi kibao imebakia na kuiondoa ni operesheni tu na kwa tatizo ambalo hukulitolea kijasho kukurudia ni rahisi sana........come easy go easy......................huo ndio ukweli wake..................
 
wakuu salam!
Mwenzenu nimeota kakitambi ambako kanatishia utendaji kazi wa usiku!mbaya zaidi naona hata kitendea kazi kinapungua ukubwa!hata zile well done nilizokuwa napewa na shemeji yenu sipewi tena!
Wazoefu wa vitambi,ushauri pls ni style ipi itaendelea kunipa heshima ya familia!?


Mkuu style pekee itakayoendelea kukupa heshima ni kufanya sit ups.Jaribu kutafuta kitu chochote ambacho utaweza kuweka miguu yako kama support kisha fanya sit ups zisizopungua mia mbili kila siku.Mwanzoni inaweza ikaonekana ni kazi ngumu,lakini anza polepole kama ishirini,kisha nenda ukiongeza mpaka ufikie idadi niliyokutajia.Utaendelea kula kama kawaida na utajikuta ukikata tumbo na kuongeza ufanisi wako ndani ya wiki mbili mpaka mwezi mmoja kutegemea na seriousness yako katika mazoezi.

Fanya hiyo kama routine yako kila wiki mara mbili au tatu baada ya kuona matokeo,kumbuka kuna umri ukifika weight inakuwa adui wako mkubwa na usipokuwa makini basi utajikuta unazeeka kabla ya kufikisha miaka arobaini(sorry maana sijui umri wako)By the way I wish you all the best katika kulifukuza hilo likitambi maana mimi nilifanikiwa kwa njia hiyo.
 
Mazoezi tu kaka. Kupiga chuma style mbalimbali, asikwambie mtu, kitambi kitapotea haraka na tena utajenga body hadi shemeji mwenyewe atafurahi na atakuwa anakujivunia. Chuma kina style nyingi, na ukizingatia huhitaji kwenda gym wala kuonekana unakimbiakimbia barabarani.

Chuma unaweza pigia home tu uani pale unatenga sehemu yako, kila siku jioni ukitoka kazini unaanza. Wapiga chuma hatuna ratiba ya bar wala bia, muda haupo, ni chuma tu. Piga chuma, halafu kamata msosi wako kama kawaida. Misuli itajengeka kila idara nakuhakikishia.
 
Mie pia nina tatizo kama lako ila napiga tizi kwa uvivu juzi ndio nimeanza kupiga tizi seriously baada ya kuona performance inaanza kupungua kwa hiyo tuko pamoja lakini kama wadau wengi walivyosema dawa ni mazoezi ya nguvu bila kuchoka halafu unaweza kuwa unatembea tembea kidogo kila siku angalau kilomita 10 ili kufanya mwili uchangamke sasa tatizo la sisi watembelea makalio uwa hatuna mazoezi kabisa hata nusu kilomita tunatembelea makalio
 
Kaka, pakate au tengeneza umbo "V" ambapo 'ke' atakuwa chali na 'me' kulala ubavu.Miguu ya 'ke'huwekwa juu ya mapa**ya 'me'.Kwa namna hii hakuna mguso wa kitambi na kiwiliwili cha 'ke'.
MAADILI YAMEZINGATIWA!!!!!!!


We lazima utakuwa prof wa kiswahili uko udsm nini?
 
wakuu salam!
Mwenzenu nimeota kakitambi ambako kanatishia utendaji kazi wa usiku!mbaya zaidi naona hata kitendea kazi kinapungua ukubwa!hata zile well done nilizokuwa napewa na shemeji yenu sipewi tena!
Wazoefu wa vitambi,ushauri pls ni style ipi itaendelea kunipa heshima ya familia!?
Zitakuwa anapewa mwingine....! Kuwa makini sana...!
 
kula babu wewe ongeza tu ktambi asi kuna haus boy apo?kwan umemwajiri kwa ajili gan?
we endelea kutembelea makalio ata kwenda ****** nenda na gari akuna zoezi lolote zoez unalolifanya ni la ku...wakt una...basi..HAUS BOY YUPO ATAKUSAIDIA.......!!!!!
Unanikatisha tamaa ya maisha....!
 
Unanikatisha tamaa ya maisha....!
km unkisoma vyema apo utagundua nataka kusema nin?
mazoez ni muhimu kwa mwanaume..trust me asilimia kubwaaaaa wanatoka nje kwa sababu iyo wam,pa kila kitu mchezo nehi wat do thk then?haus boy,dereva kale kakijana kafund wa nyumban ndo uwaga nxt step...si kwa kupenda bali kwa kukidh mahitaj ...ukweli ndo uo ingawa unauma

ukiamka ndani ya gar to job akikaa job ni kiti cha kuzunguka noo kuamka wth ful AC ukitoka job ndan ya ndnga umepta kwa massawe kdg unapga dubai 2 3 ukitoka apo ndani ya ndnga hm wali na maharage
hali hii kila sku mwez mzima mwaka mzma ...apo unazani inakuwaje??vtu vngne visirundkane tu?visisinyae tu?tizi baba kwa ndoa yenye afya!1
 
kula babu wewe ongeza tu ktambi asi kuna haus boy apo?kwan umemwajiri kwa ajili gan?
we endelea kutembelea makalio ata kwenda ****** nenda na gari akuna zoezi lolote zoez unalolifanya ni la ku...wakt una...basi..HAUS BOY YUPO ATAKUSAIDIA.......!!!!!

mmmmmh!kweli humtakii mema mwnzio.
 
wakuu ushauri ninaoanza kuufanyia kazi ni kuanza mazoezi immediately!nitawajulisha kuhusu maendeleo yake hasa kiutendaji!
Natanguliza shukurani!
 
Kwanza kabisa tujue kwamba kuwa na kitambi na kuwa na mafuta(FATS) mengi mwilini ni vitu vinavyo endana kwa ukaribu sana kwani Fats nyingi mwilini hufanya storage kwenye tumbo na hata kwenda kwenye makalio(******) hii ni kwa wanaume,na kwa wanawake fat storage hufanyika kwenye misuli ya mikono ya nyuma(triceps),hips,matakoni na baadaye kuhamia kwenye tumbo,






Tafiti zinasema kuwa fats zinazokuwa tumboni ndio fats mbaya kuliko fats nyingine zote ambazo ziko mwilini,inasemekana kuwa ndio fats zinazosababisha higher cholesterol levels,higher blood sugar,heart disease and raised blood pressure.

Kwahiyo sasa unapotaka kupungua jua kuwa unataka kutoa mafuta mwilini kwahiyo ili utoe mafuta ni lazima ufanye mazoezi ambayo yatatoa Fats ndani ya mwili mzima na sio sehemu moja tuu ya mwili,Unaweza ukafanya sana situps na mazoezi mengine mengi ya tumbo lakini tumbo halitapungua bali utalikomaza tuu na mwishoni litakuwa gumu zaidi hata kutoa fats zilizomo.

Ningependa kuwaambia wasomaji wangu kwamba hakuna zoezi la kutoa kitambi peke yake bila kupungua mwili mzima na ni ngumu sana kutoa body Fats kama hutafanya mazoezi ya kushirikisha mwili wako wote kwa muda wa lisaa limoja au dakika 45,kwa kawaida mwili huanza kuburn Body Fats kwa ajili ya kutumika kama enegry baada ya nusu saa wakati unafanya zoezi.

Kabla ya hapo mwili unakuwa unatumia the available energy, kwa mfano wakati ukiwa unakimbia au kuendesha baiskeli baada ya nusu saa mwili wako huanza kuunguza mafuta kwa ajili ya kukupa nguvu ya wewe kuendelea na ndipo hapo tunasema unaburn calories mwilini.

Ushauri wangu kwa wasomaji wangu ni kwamba njia pekee ya kupungua ni kufanya mazoezi yanayo shirikisha viungo vyako vyote kwa pamoja na hakikisha unafanya kwa muda usio pungua lisaa limoja au dakika 45.
Na kama unamwili wa kawaida hutaki kupungua bali unapenda kufanya mazoezi kwa ajili ya afya basi fanya mazoezi kwa nusu saa tuu kwa wiki hata mara tatu sio mbaya utaendelea kuonekana ni mwenye afya na mtanashati na unae jiamini kwa wakati wote.

 
Jamani naombeni mbinu za kunisaidia kupunguza kitambi nimejaribu mazoezi na diet ila imekuwa ngumu nifanyeje?
 
Kitambi kinasababishwa na ulaji kupita kiasi,mazoezi yanapunguza ila kwa muda mrefu sana,generally punguza kula kama kwa siku ulikuwa unakula mara 4 kwa siku punguza hadi3,pia acha kula vyakula vyenye mafuta mengi.good luck
 
Back
Top Bottom