Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Namhurumia mshkaji, maana inaelekea Mrs. wake ham-feel kihivyo!! Haya ndo matatizo ya kuoa na kisha mkeo ana-assume usiku kuwa amelala na Brad Pitt au Tom Cruise.
 
Jamani kuna ndugu yangu anateseka sana na kitambi amejaribu kunywa whisky za aina yote akiamini atapunguza kitambi jawabu -ve...kwenu wapendwa...afya bora kwa kila mtanzania...

Hello mum mia, jaribu kwenda kwa wachina au masaai wanazo dawa nzuri za kumfanya mtu aharishe na tupokupungua. Binafsi nimetumia dawa za wachina nikafanikiwa. kila la kheri.
 
Wana JF,

Hili suala la mtu kutafuta ushauri wa jinsi ya kuondoa kitambi liliishaongelewa hapa kama sikosei miezi mitatu minne iliyopita. Kuna ushauri ulitolewa na jamaa yangu mmoja akaamua kuufuata kwa makini. Huwezi kuamini ndani ya siku 45 alibadilika kupita kiasi. Inawezekana nisiandike vile vile kama yule mshauri wa awali lakini huyu jamaa yangu alizingatia yafuatayo;

1. Awali alikuwa hali breakfast. Baada ya ushauri alianza kula breakfast.

2. Alikuwa anakula chakula kingi mchana na usiku. Alibadili na kuanza kula chakula kidogo mchana na usiku anakula chakula kidogo kabisa au siku nyingine hali.

3. Aliongeza kasi ya kunywa maji na kwa siku angalau alikuwa anakunywa lita 3 za maji

4. Alianza kwenye kwenye gym kila jioni ambako alipata nafasi ya ku-burn idle calories halafu kama nilivyosema hapo namba 3 akawa hali chakula kingi usiku.Kwenye gym machine alikuwa ana cover si chini ya kilomita 5 kila siku na alikuwa anakwenda kwenye gym 4 times a week.(He should spend at least 30 minutes in gym room exercising hard)

5. Alikuwa anaepuka kula vyakula vyenye jamii ya nyama usiku.

6. Alipunguza kasi ya kunywa bia.

This is a practical experience na nina imani huyo aliyeuliza akifuata haya maelekezo anaweza kufanikiwa kama jamaa yangu alivyofanikiwa.

Tiba
 
Wakuu, kuna hili tatizo la vitambi linalowanyemela vijana wengi kwa kasi ya ajabu (na wazee pia). Sasa hivi hata wanawake nao wameanza kuwa na vitambi.

Kuna watu wanaosema kwamba mazoezi pekee hayasaidii sana kupunguza/kuondoa kitambi bali ni combination ya mbinu kadhaa.

Ningependa kufahamu 'practical' ways za kupunguza vitambi

Aksanteni
 
fanya mazoezi pamoja na dayat, kuna vitabu vingi vinauzwa sehem tofauti ambavyo vinaelekeza jinsi ya kula sio kujilia ovyo.

natumai hii ni njia sahihi.
 
Mbona mnarudia MADA?? si ilishachangiwa member mmoja aliomba ushauri akapewa hapa??
 
una maana gani, afanye mazoezi huku akiwa ameweka dayati pembeni tayari kwa kuishughulikia?

kwa wale ambao hawakuelewa ndio maana nikasema kuna vitabu vidogovidogo vinavyoelekeza jinsi ya kula na sio ulaji ovyo....kitambi husababishwa na kuongezeka mafuta mwilini sawa kina ndugu.
 
fat_girls.jpg







funny-picture-33.jpg



JAHADHARI KABLA YA HATARI...
 
kwa wale ambao hawakuelewa ndio maana nikasema kuna vitabu vidogovidogo vinavyoelekeza jinsi ya kula na sio ulaji ovyo....kitambi husababishwa na kuongezeka mafuta mwilini sawa kina ndugu.
Ingekuwa vizuri kama ungetuma hicho kitabu humu ili tuweze kuelimika zaidi. asante kwa hilo.
 
Kwa kweli! naona niko size na huyo dada wa mwisho kulia hapo...hatari maana kila kukicha weight yaongezeka.
 
Kwa kweli! naona niko size na huyo dada wa mwisho kulia hapo...hatari maana kila kukicha weight yaongezeka.

Kama una umbo kama la huyo dada, basi ninyi ndiyo ugonjwa wangu miye... Nitafute basi nikupe mbinu za kupungua.
 
Back
Top Bottom