devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 269
- 367
Kuna mitishamba asili hawezi kuwa kibonge ukinywa maji yake tosha ...0744903557 tanga
Kuna jamaa yangu alianza program ya kuondoa kitambi, alipunguza mlo na kufanya mazoezi....akaishia kuwa mwembaba lakini kakitambi bado kamechomoza, anakuwa kama ameficha kofia ya Pikipiki tumboni.
kima mtishamba ndo ulimfanya mtu kuwa kibonge basi utamfanya kurudia mwili wake wa awali ka sivyo basi kilichomfanya kuwa bonge ndicho kitamrudishia mwili wake wa awali, kupungua si kaziii mtu anaweza kupata dawa za kuarisha then akapungua ila hatoweza kubaki hapohapoKuna mitishamba asili hawezi kuwa kibonge ukinywa maji yake tosha ...0744903557 tanga
mkuu kupungua si tatizo tatizo ni kumaintain, hiyo helimu ndo tunaiuza tena kwa hela mbayaa. Ukitaka kupungua kwa haraka tunakupa dawa za kuarishaa mara mbili tatuu then unakuwa kama mimii ila wikii tatu nyingi usharudia ubonge wako.Vitambi na ubonge vyote ni matokeo ya ulaji mbaya haijalishi unakula ninii ama. Hiyo elimu ya kuwa unapopataka ndo tunaiuza tena kwa pesa mbayaa sana na ndo biashara kwasasaaKwe suala la vitambi TUELEWANE apa kuna vitambi vya aina 2 moja cha ugonjwa na kingine cha starehe sasa ushaur ule wa kafanya Mazoez kupunguza vyakula vya wanga unawafaa wale wa vitambi vya starehe hawa ndio wataweza kupunguza kitambi lakin hii aina ya kitambi cha ugonjwa ata ufanye Mazoez kias gan upunguze vyakula vya mafuta + sukari utapungua kwa asilimia chache sana ukiacha Mazoez wiki moja ngoma inarud pale pale.. Sasa hiki kitambi cha ugonjwa kuna dawa za kienyej kukiondoa lakin hiki kitamb cha starehe fuata ushauri wa kitaalamu fanya Mazoez zingatia lishe bora (diet) maji kwa wingi n.k n.k
pole mkuu, kulipunguza najua itakuwa kama kupasua jiwe kwa nyundo ya mbaoMie nimeliacha kwa muda maana nilijaa kama Puto, af i was aging fast kabla ya umri 😁
Nazungumzia aina za vitambi bossmkuu kupungua si tatizo tatizo ni kumaintain, hiyo helimu ndo tunaiuza tena kwa hela mbayaa. Ukitaka kupungua kwa haraka tunakupa dawa za kuarishaa mara mbili tatuu then unakuwa kama mimii ila wikii tatu nyingi usharudia ubonge wako.Vitambi na ubonge vyote ni matokeo ya ulaji mbaya haijalishi unakula ninii ama. Hiyo elimu ya kuwa unapopataka ndo tunaiuza tena kwa pesa mbayaa sana na ndo biashara kwasasaa
Usijali kuna mazoezi madogo anayotakiwa kufanya bila kifaa chochote bila hata kwenda gym. Bofya link hapa chini utapata video za mazoezi anayotakiwa kufanya, Kila zoezi sekunde 45.Jamani kuna ndugu yangu anateseka sana na kitambi amejaribu kunywa whisky za aina yote akiamini atapunguza kitambi jawabu -ve...kwenu wapendwa...afya bora kwa kila mtanzania...
Jamani kuna ndugu yangu anateseka sana na kitambi amejaribu kunywa whisky za aina yote akiamini atapunguza kitambi jawabu -ve...kwenu wapendwa...afya bora kwa kila mtanzania...
Ulipata?Duh ngoja niangalie hapa
Uzuri sina Kitambi. Ili nilitaka nijue kipi ni kipi hapa?Ulipata?
Mkuu utakuwa baunsaanipo tayari kufanya mazoezi mazito ila sio kuacha kula vitamu vitam
imagine kitimoto na balimi mbili za baridiiiiii na bebebeibe kwa pemben.
sasahivi kila usiku na alfajir napiga push up 100 napumzika kidogo napiga tena 100.nikimaliza nanyanyua gym mara 50.nikimaliza nakunywa maji mengi.
baada ya hapo chakula ntakula mchana (wali kidogo na mchicha)
ikifika usiku sasa msosi ntakaokula mungu ndie anajua.ukinikuta nakula utajisemea huyu jamaa mlafi