Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

Zamani Katika Matangazo ya Ajira walipokuwa wakieka kipengele cha kuandika barua katika walikuwa wakiweka Namna ya Kuandika barua ambapo Masharti Yake ni Kuwa Iandikwe kwa Mkono.

Lakini sikuhizi Matangazo yao wanayafanya Simple sana na ya kimtego ambayo huwa hawaandiki Vitu kama Kuambatanisha na barua iliyoandikwa kwa Mkono , na Veti kuwa Vimethibitishwa na Wakili (Hili kwa hatua ya Maombi sio lazima).

Lakini kwenye kuyachambua Maombi ya Waombaji unakutia Hivyo vitu wanaviangalia kwa 100%.

Na ndiyomana unamkuta Mtu anakosa ajira ikisha analialia hapa JF kwa kutokufuata taratibu.

Mkuu Barua kuandika kwa Mkono ni Lazima wala so hiari.

Kama hutaki ajira basi katype Barua uone Mziki wake.

Na Kuhusu kuandika barua kwa English Language hilo sina uhakika kama Halikubaliki, Lakini yanini kufika huko kwenye English Wakati kiswahili ni Kizuri na Kinakubalika?

Bora tumia lugha yako ya asili kwani English sio priority Satan a you any alia kukupa ajira.

Na kama ipo sehemu ya kuapload CV basi iandike uiapload itakusaidia.
Acha kupotosha watu wewe.mwaka jana watu wametype na wamepata kazi

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Haina Shida Hapa Hapotolewi Mtu kwani Mimi sijamkamata Mtu Mkono kuwa asitype, bali nimetoa tu ushauri kuwa Watu waandike kwa Mkono.

Barua zote zinakuja Dododoma (OR-TAMISEMI) kwahiyo atakaye type na ataye andika kwa Mkono wote zitatufika na tutajua ipi tuchukue na ipi tuache.
Acha mbwembwe na kuwatisha watu.

Mkuu una mikwaraaa😂😂😂😂😂
 
Tangazo limebadilika kimya kimya..weny bachelor upande wa sanaa waombe sekondary badala ya shule za msing...
 
hivi vyeti uapload saa ngapi ndo vikubali?? maana dah!!! watu wanasuccessed kuapload kweli??
Nimejaribu mara nyingi sana ila sijafanikiwa hata sijui nitumie mbinu gani, yani kama teknolojia yetu bado iko chini bora wangesema tutume hardcopy kwa EMS.. huu ni usumbufu wa kiwango cha lami.
 
Nichek watsapp 0769752413 kwa msaada wa kuaaply.
20190306_163113.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii system inashake kwanini?? mara inakuwa vizuri mda huu naona haifunguki!!!
 
Back
Top Bottom