Msaada kuhusu mfumo wa usajili kuomba ajira za ualimu

ZE WANNA

New Member
Apr 9, 2023
3
6
Hello Wapendwa !

Naomba Msaada wenu kwa wale waliofanikiwa kuendelea na kumaliza mchakato wa maombi ya ajira kada ya UALIMU.

Nimejaribu kufanya usajili (registration) lakini mfumo unagoma " inaonyesha username imeshatumika nimejaribu kutumia username nyingine (email) ikakubali pindi nilipohakiki NIDA namba mfumo ukasema account tayari ina-exist (nilishawahi kufanya maombi huko nyumba)

MSAADA KWA ANAYEJUA
 
Back
Top Bottom