Mfumo wa kuomba ajira TAMISEMI

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,315
761
Kwa waliofanikiwa kufanya maombi ya ajira hizi za waalimu kuna sehemu nakwama kipengele cha elimu ya chuo, sasa kwa ngazi ya diploma kwanza Reg.Number ni gani Kwenye cheti ni Index Number na ndio nimeweka hapo,pili sehemu ya ku select course I unuaandika nini nimeaandika Diploma naona haija repond. Msaada
Screenshot_20230415-185629.jpg
 
Back
Top Bottom