Ila siyo siri, Mfumo wa OTEA si rafiki!!! Wangefanya consultation na watu wa Heslb ambao mfumo wao wa OLAM ni rafiki sana!! Unakuongoza vizuri hatua kwa hatua. Ukimaliza hatua moja unakuruhusu kwenda hatua ya pili, na mwisho wa siku wanakuruhusu ku-submit na kuprint copy yako. Halafu wanakutaka utume hard copy pia kama back up!! Lakini hawa OTEA hawana option ya ku-submit au ku-edit! Mtu unaweza kufanya kosa lakini hawana option inayokuruhusu kuedit, vinginevyo sijui uanze process upya!!! Kwa ufupi hawako vizuri!!