Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,104
kwani kuna shida gan kama utatype barua yako? na je lazima iwe kwa kiswahili au kuna umuhimu kuiandika kwa english? naomba unijibie mkuu!!!
Zamani Katika Matangazo ya Ajira walipokuwa wakieka kipengele cha kuandika barua katika walikuwa wakiweka Namna ya Kuandika barua ambapo Masharti Yake ni Kuwa Iandikwe kwa Mkono.
Lakini sikuhizi Matangazo yao wanayafanya Simple sana na ya kimtego ambayo huwa hawaandiki Vitu kama Kuambatanisha na barua iliyoandikwa kwa Mkono , na Veti kuwa Vimethibitishwa na Wakili (Hili kwa hatua ya Maombi sio lazima).
Lakini kwenye kuyachambua Maombi ya Waombaji unakutia Hivyo vitu wanaviangalia kwa 100%.
Na ndiyomana unamkuta Mtu anakosa ajira ikisha analialia hapa JF kwa kutokufuata taratibu.
Mkuu Barua kuandika kwa Mkono ni Lazima wala so hiari.
Kama hutaki ajira basi katype Barua uone Mziki wake.
Na Kuhusu kuandika barua kwa English Language hilo sina uhakika kama Halikubaliki, Lakini yanini kufika huko kwenye English Wakati kiswahili ni Kizuri na Kinakubalika?
Bora tumia lugha yako ya asili kwani English sio priority Satan a you any alia kukupa ajira.
Na kama ipo sehemu ya kuapload CV basi iandike uiapload itakusaidia.