roho ya chuma au roho mbaya..??
Umenielewa vibaya chujio! Teh teh teh..
akyanani machozi yamenilengalenga.... Sasa kama yule alidhani amani inapatikana kwa hela pekee, ndo atajua sasa. Wapo wengo sana wa hivyo
...Ila siku hizi kwa ushuhuda tuu!!
Kweli tunajifunza mengi toka kwa wanawake,wengi wa wanawake waliopata kufanikiwa kuwa na kipato ni vigumu sana kusaidia wenza wao na ndio maana wengi wa wanawake hawa hawana waume zaidi ya kujiridhisha na mabwana wa kupita.Ukitaka kumjua mkeo alivyo filisika.
Unaweza kunipa mfano wa wanawake maarufu na wenye mafanikio japo watano ambao wana waume zao?Tunajua kuwa wanaume kuwa na pesa ni jambo la kawaida ila mwanamke akizipata ndio utajua kwa nini anaitwa mwanamke.Sio wote!!
Ni hulka ya binadamu!!!
Wapo pia wanaume wanatabia hiyo!!
Tabia ya mtu ni pale apatapo pesa!!
Heaven on Earth am here inasikitisha kweli. lakini sitaki kuamini wanawake wote wenye pesa wako hivi, tunawajua wanawake wanaovumilia frustrations za waume zao kukosa kazi, kufungwa magerezani, kufilisika etc. wanatunza familia na watoto wanasoma na kuwa watu katika jamii. And most of the time the husbands who are willing to start over always come back better than before. Nafahamu wanawake ambao pia walipoteza kila kitu in the process of caring for sick husbands. Wanaacha kufanya kazi wanajitoa kabisa kuhudumia mgonjwa.mie mwenyewe imenisikitisha sana aisee......Money is not everything being surrounded by the people u love dearly
is what matters the most
my friend Power to the People aje aisome na yeye
mwanamke ukijua thamani yake hata akiwa na pesa kama Bill Gate atakuheshimu! Shida ya mwanamke ni mtu wa kisasi na hapa wanaume hawajui wanajua wanawake ni watu wa kusamehe mnawafanyia wake zenu ujinga anajidai kakusamehe subiri apate pesa ndio utaona atakavyo revenge! Anaweza kukutreat kama mbwa!Unaweza kunipa mfano wa
wanawake maarufu na wenye mafanikio japo watano ambao wana waume
zao?Tunajua kuwa wanaume kuwa na pesa ni jambo la kawaida ila mwanamke
akizipata ndio utajua kwa nini anaitwa mwanamke.