Jinsi ya kumlinda mumeo

Jinsi ya kumlinda mumeo

Kifupi shughuli za nyumbani ni za mwanaume na mwanamke. Huwezi mwanamke ukajitwisha hilo jukumu ukidhani ndio unamlinda mume. Huky kunaitwa kudekeza mwanaume kitu ambacho ni kosa kubwa unalolifanya kwa mahusiano. Labda umsome mwenzio uone anapenda hivyo, ila nae hatakua mpenzi bali atakua bwana wako nawe utakua mtumwa wake.
Sijui tatizo nini??? Kwa hiyo kupika vzr kwa ajili ya familia ni kumuendekezq mume??? Kufanya usafi ndio kumuendekeza mume?? Kwa wanawake wanaojua kwanini wameolewa hizo kazi hapo sio shida wala utumwa.

Ushindwe kupika vzr au kufanya usafi kwa kusingizia ni majukum ya wote...ngoja sasa aanze kula hotelini na kuchelewa kurudi...
 
Exactly, za kuambiwa changanya na zako. Kuna wanaume ukijipikilisha pikilisha na kujifanya mnyenyekevu wanakuona weak. Mimi wangu ni hapa tunapelekana mbio ile mbaya, kupika zamu, kufua zamu, ananijua sipendi kuosha vyombo na namjua hapendi kupiga pasi. Na akileta za kuleta nampaka nami ananipaka. Kifupi tumeweka urafiki mbele. We compliment each other... etc.
Aiseeee.....kupatwa kwa mume. Ila kikubwa maelewano tuu. Siku ziende
 
JF mnajitutumua kweli, in reality mnasanda na hela mnatupa.. mkinogewa hamnaga ujanja.
hivi kumbe ukipewa hela unaona kakosa ujanja??

sishangai you probably also think cooking is for women.

uje nikuzungushie round za bia.
 
Sijui tatizo nini??? Kwa hiyo kupika vzr kwa ajili ya familia ni kumuendekezq mume??? Kufanya usafi ndio kumuendekeza mume?? Kwa wanawake wanaojua kwanini wameolewa hizo kazi hapo sio shida wala utumwa.

Ushindwe kupika vzr au kufanya usafi kwa kusingizia ni majukum ya wote...ngoja sasa aanze kula hotelini na kuchelewa kurudi...

Naona kiswahili huelewi au unajifanya hujui kusoma. Twende kwa point:

  • Mwanamke kazi yako sio kumpikia mwanaume. Mpikiane ( umpikie nae akupikie).
  • Mwanamke kazi yako sio kumfulia mwanaume ( mfulie nae akufulie).
  • Mwanamke kuwa na kauli nzuri pale mwanaume anapokua na kauli nzuri kwako pia.
  • Kazi ya kulinda mwanaume sio ya mwanamke. Ni ya mwanaume mwenyewe (ajilinde asichepuke) na Mungu ( amlinde na mabaya yoote.
  • Tusipotoshane.
 
Hujaambiwa umlinde ila play your roles...ikitokea kachepuka basi labda ni ule uchepukaj wa damuni ..ila wewe usiwe ndoo chanzo
Wapo wanaocheza nafasi zao, wanawake wa shoka haswaa, but wanaume wao ni wachepukagi...
"Kuchepuka is a choice"
Nitatekeleza wajibu wangu kama sehemu ya majukumu yangu kama mke na kama mwanamke. Lakini sio ili mume asichepuke... Hii mentality ndio siitaki.
 
Umetoa hoja nzuri sana yaani Mapishi, Usafi na Maneno Mzuri ila kuna nambe 4 ni muhimu pia kujiongeza Ufundi Kitandani panapo faragha
 
Nyie ndio mliotakiwa mlete hoja za nini mnapenda ili mdumi na muwe waaminifu katika ndoa....

Mleta mada leo kaanza kwa kuwafunda nyie...huenda kesho akaja na yanayomuhusu mume

Alafu kwanini mkiambiwa kuhusu majukumu yenu mnasema ni utumwa??? Kupika vzr et utumwa....dah usafi pia utumwa???
Hayo mafundisho sijawahi kuyaona humu, mmekazana na wanawake tuuu as if wamejioa!!
'Majukumu yetu eti', teh teh teh teeeeh!!!
 
mume kaingia jikoni anaangalia kabati anaona sahani zina vumbi hajawahi kuwekewa atumie hata siku moja basi anafura huyo anatoka nje kwa hasira anaenda kukaa bar atafute wa kuchepukia aondoe stress za kutotumia sahani.
kama Mume wako anajua jiko lilipo mpe na diaba zote Aogee,he is One in a million na men hatunaga ujinga wa kuondoa stress kisa vyombo
 
Wapo wanaocheza nafasi zao, wanawake wa shoka haswaa, but wanaume wao ni wachepukagi...
"Kuchepuka is a choice"
Nitatekeleza wajibu wangu kama sehemu ya majukumu yangu kama mke na kama mwanamke. Lakini sio ili mume asichepuke... Hii mentality ndio siitaki.
yes....! Hapo umesema sasa. lazima ufanye majukum yako kama mwanamke. Akichepuka awe na sababu zake
 
Mwanamke kaumbwa kuongea??,
Kwa siku mwanamke anaongea maneno mangapi compared na mwanaume? Mbona mnataka tuwajua nyie tuuu ila nyie upande mwingine ziiiii!! No wonder mambo hayaendi.
 
Ushindwe kupika vzr au kufanya usafi kwa kusingizia ni majukum ya wote...ngoja sasa aanze kula hotelini na kuchelewa kurudi...
wewe unaona nyumba chafu kwanini usisafishe?
wewe unapikiaga familia yako?
unafanyaga kazi yoyote nyumbani??

anyways ndo kabla ya kuhamia na mtu mnaamua. hope fully unayeishi naye kakubali kuwa hizo ni kazi zake huku wewe umekaa na remote au unachelewa kurudi nyumbani kabisa ili ukute kila kitu tayari.

wengine hatuishi hivyo.
 
mume kaingia jikoni anaangalia kabati anaona sahani zina vumbi hajawahi kuwekewa atumie hata siku moja basi anafura huyo anatoka nje kwa hasira anaenda kukaa bar atafute wa kuchepukia aondoe stress za kutotumia sahani.
Likija suala la pesa tunatakiwa tusaidiane ila kuosha vyombo ni majukumu ya mwanamke, sijui quran na biblia ndio vimeandika hivyo!!

Hawa watu wanadhani wanawake ni roborts!! Basi tutaweka security wakichepuka ni mkong'oto tu turahisishiane kazi.
 
Kwa siku mwanamke anaongea maneno mangapi compared na mwanaume? Mbona mnataka tuwajua nyie tuuu ila nyie upande mwingine ziiiii!! No wonder mambo hayaendi.
Hamna sister. Inshu sio unaongea mara ngapi,ila unaongea nini hizo mara nyingi. Kila saa ni malalamiko, plus maneno ya ajabu ajabu, maneno ya kukera
 
Likija suala la pesa tunatakiwa tusaidiane ila kuosha vyombo ni majukumu ya mwanamke, sijui quran na biblia ndio vimeandika hivyo!!

Hawa watu wanadhani wanawake ni roborts!! Basi tutaweka security wakichepuka ni mkong'oto tu turahisishiane kazi.
..Kuchepuka ni Choice Ila wanawake wanakua source mno they Get comfortable kisa kaolewa Unlike alivyokua enzi anawindwa
 
Likija suala la pesa tunatakiwa tusaidiane ila kuosha vyombo ni majukumu ya mwanamke, sijui quran na biblia ndio vimeandika hivyo!!

Hawa watu wanadhani wanawake ni roborts!! Basi tutaweka security wakichepuka ni mkong'oto tu turahisishiane kazi.
security????
Swala la pesa kuchangia kwa mwanamke afannnye akipenda au akiona kuna palipo pungua, hivyo hivyo mwanaume afanye kazi za home kwa mapenzi tuu isiwe kwa lazima au zamu zamu.....
 
Back
Top Bottom