Jinsi ya kumlinda mumeo

Jinsi ya kumlinda mumeo

We uliyeanzisha huu uzi nitolee kule na utumwa
wako . Tupa kuleeee. Kila kitu is all about men! Come on...tumechoka a a a a a a unatuletea mada za kuwaendekeza hapa...eti kuwalinda seriously? Sisi tumekuwa walinzi? Kama mwanaume kaamua kuvua kwa kila mtu na afanye. Pressure ya nini kuwapa kina mama? ?
 
nimeona zana za ulinzi zimewekwa nying sana
sasa ndo naona tu nifanye njia fupi!
ultimate security au kiboko sijui chui!
ahahahahahhaha upo mpwa?
Teh teh...knight support wapo vizuri zaidi, wanalinda mitambo ya tanesco pale ubungo. Sasa mpwa inabidi umuachie ale ashibe, labda humpi akashiba.
 
Mbona huwa sioni mafundisho ya aina hii kwa wanaume? Au ndoa ni ya mwanamke peke yake?
Kwanini mwanamke atumie affort kubwa sana kuilinda ndoa as if ni yake peke yake?

Kwanini muwafanye wanawake wajione watumwa kwa ndoa zao? Hivi yule aloambiwa atumie akili, hiyo akili aitumia wapi?

Na hii mentality inaitafuna jamii kwa kiasi kikubwa sana, kiasi kwamba wanaume wanajiona kumuoa mwanamke ni kumfanyia fadhila tu hivyo apaswa kuhakikisha anabaki humo.
Ndoa ni ya wawili, hizo effort lazima ziwe pande zote, lasivyo ni kutwanga maji kwenye kinu tu.
Nyie ndio mliotakiwa mlete hoja za nini mnapenda ili mdumi na muwe waaminifu katika ndoa....

Mleta mada leo kaanza kwa kuwafunda nyie...huenda kesho akaja na yanayomuhusu mume

Alafu kwanini mkiambiwa kuhusu majukumu yenu mnasema ni utumwa??? Kupika vzr et utumwa....dah usafi pia utumwa???
 
Honey Faith , kumlinda mtu mzima ni sawa na kulinda bahari... Ukikaba huku kuna wanaovua kule.. Ukizunguka kule huku unawaachia..
Mtu ajilinde mwenyewe. Tusipeane stress zisizo na maana
Umeona eeeh ni ngumu sana kama ataamua kusettle na wewe atasettle ila kupeana stress na kuzeeshana kisa mtu niliyekutana nae ukubwani hapana kwa kweli mie nitafanya yaliyo ndani ya uwezo wangu tu ila hizo extra miles ngoja wafanye perfect women mie huko sipo
 
Hizi hadithi za wanawake kudanganyana ndio maana kila siku wapigwa mimba, vibuti na talaka kwa sababu ya kuchukulia uzito mambo ya kuambiwa... every human being is unique.
Sasa wao wanataka kutukarilisha mambo halafu baadae yatushindr.Ishi na mume the way unavyoona ni sawa na kutimiza tu wajibu wako hayo ya kumlinda ni kumuachia Mungu tu
 
Sasa wao wanataka kutukarilisha mambo halafu baadae yatushindr.Ishi na mume the way unavyoona ni sawa na kutimiza tu wajibu wako hayo ya kumlinda ni kumuachia Mungu tu

Exactly, za kuambiwa changanya na zako. Kuna wanaume ukijipikilisha pikilisha na kujifanya mnyenyekevu wanakuona weak. Mimi wangu ni hapa tunapelekana mbio ile mbaya, kupika zamu, kufua zamu, ananijua sipendi kuosha vyombo na namjua hapendi kupiga pasi. Na akileta za kuleta nampaka nami ananipaka. Kifupi tumeweka urafiki mbele. We compliment each other... etc.
 
Acheni kudanganyana wanawake fanyeni kazi muongeze kipato na heshima. Kila wakati mnawaza dyudyu ndio chanzo cha kutokufanya kazi au kufanya kazi pasipo ufanisi.

Thank you,
Sasa kipato kikiongezeka ilhali nyumba chafu.. huna kauli nzuri..hupiki vzr..kwa ujumla nyumba haina amani inasaidia nini???
 
Honey Faith , kumlinda mtu mzima ni sawa na kulinda bahari... Ukikaba huku kuna wanaovua kule.. Ukizunguka kule huku unawaachia..
Mtu ajilinde mwenyewe. Tusipeane stress zisizo na maana
Hujaambiwa umlinde ila play your roles...ikitokea kachepuka basi labda ni ule uchepukaj wa damuni ..ila wewe usiwe ndoo chanzo
 
Sasa kipato kikiongezeka ilhali nyumba chafu.. huna kauli nzuri..hupiki vzr..kwa ujumla nyumba haina amani inasaidia nini???

Kifupi shughuli za nyumbani ni za mwanaume na mwanamke. Huwezi mwanamke ukajitwisha hilo jukumu ukidhani ndio unamlinda mume. Huku kunaitwa kudekeza mwanaume kitu ambacho ni kosa kubwa unalolifanya kwa mahusiano. Labda umsome mwenzio uone anapenda hivyo, ila nae hatakua mpenzi bali atakua bwana wako nawe utakua mtumwa wake.
 
Teh teh...knight support wapo vizuri zaidi, wanalinda mitambo ya tanesco pale ubungo. Sasa mpwa inabidi umuachie ale ashibe, labda humpi akashiba.
hahahhaha mambo ya kula mlo mmoja kwa kiasi kikubwa ndo mwanzo wa utapiamlo,acha akapate mboga ,matunda,samaki,maziwa,chumvi yenye madini joto,glucose,paprika!
mi nazingatia maagizo ya mwalimu wa sayansi kimu bana!
 
Nirewedi rumburya!
Ukichepuka usitoe visingizio mtani, utakuwa unataka 'fleva' nyingine.
mpwa mi nakupendea hapo tu!
hizi mambo za kuamini ati nikiachagua kula wali wa njegere leo basi ndo napenda kula kila siku
aaaah you people be humble!
siku nikiamua kula pure iwe tu ni sawa!
 
Back
Top Bottom