The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Kwanini wewe usijifunze kumsikiliza na huo upuuzi wake? Au kumuelekeza kwa upendo tu!!! Mwanamke kaumbwa kuongea akinyamaza jiulize mara mia mia.
Inawezekana na wewe hujanielewa na ndo wale wabishi
sijasema kuongea ni kosa
mimi nimeenda na thread kuorodhesha vitu naona wanawake wakivifanya
itasaidia...haimaanishi ni lazima
au wasipovifanya basi hawafai....
hata mwanamke akiamua hataki kupika haimaanishi ndo hafai kuwa mke
hapa tunaoredha tu maoni yetu
ni bora wajue kupika
bora wawe wasafi
bora wasiongee ongee sana.....but maoni sio sheria......
kuhusu mimi ...mimi nita deal na mhusika kulingana na faida zake
naweza kumvumilia au kumshindwa kulingana na mazingira niliopo
na nikimuweza au kumshindwa haina maana nimemuonea
