Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,652
- 8,543
Nimeisha!!!!!!!
unatokaga nje ya 18
Nimeisha!!!!!!!
ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
Na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.
Anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.
Asante kwa mambo ya kisasa . Sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
jf kwenye cellphone.
Kuna apps mbili moja ajili ya iphone na nyingine ya adroid... Na bei poa kweli kuanzia $2.99us mpaka $2.42 us.
ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...smswyldixmiwiy29tlmj1c3rlzgjvb2tzlnnwewfwccjd
ya iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8
yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. Unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. Na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.
So wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. Ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..
Asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.
Ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
Na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,
be safe, take care.
Afrod.
Nimeisha!!!!!!!
Hujashinda bado sababu ye anatrack number..
Kuna thread nyingine ntaleta ya jinsi ya kumtrack mtu kwa viatu, nguo , kalamu, gari etc...
Labda utembee uchi ..
Nimeisha!!!!!!!
Kweli watu wabishi!! Lol
Sijui hapa Joseph kasemaje... Kakubali kutembea uchi?
Sidhani kama wewe unaweza kukubali kutembea uchi,inawezekana sikulijibu hilo swali ila haimaanishi kuwa nilikubaliana nalo.
Haya makorokoro yameanzia Europe, but hayajapunguza hata 1% of cheating, Sembuse Bongo. Let me cheat forever coz cheat is a free trainer of love
Si upigane labda mtoto wako kaonewa
Unapigania mtu aliyeamua kupeleka dudu yake mtaani? Wah for?
Haya makorokoro yameanzia Europe, but hayajapunguza hata 1% of cheating, Sembuse Bongo. Let me cheat forever coz cheat is a free trainer of love