Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,151
Reaction score
9,272
Ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.

anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.

Asante kwa mambo ya kisasa . sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
JF kwenye cellphone.

kuna apps mbili moja ajili ya Iphone na nyingine ya adroid... na bei poa kweli kuanzia $2.99US mpaka $2.42 US.

ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...sMSwyLDIxMiwiY29tLmJ1c3RlZGJvb2tzLnNweWFwcCJd

ya Iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8

yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.

so wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..

asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.

ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,

Be safe, take care.
Afrod.
 
Naacha simu kazini naenda kuchakachua wala hakuna atakayejua,halafu siku hizi kila mwenye simu yanye mtandao utamuona na kisimu kidogo cha tochi hivyo hasa wanaume hivyo kukamatwa ni kazi kubwa.
 
Mmmh kweli technology is everything, japo nchini kwe2 bado tupo nyuma ya technology kwa miaka kumi
 
Naacha simu kazini naenda kuchakachua wala hakuna atakayejua,halafu siku hizi kila mwenye simu yanye mtandao utamuona na kisimu kidogo cha tochi hivyo hasa wanaume hivyo kukamatwa ni kazi kubwa.

Hujashinda bado sababu ye anatrack number..
Kuna thread nyingine ntaleta ya jinsi ya kumtrack mtu kwa viatu, nguo , kalamu, gari etc...
Labda utembee uchi ..
 
naamin hakuna mwenye kunifatilia kihivyo,kwa simu tu hawezi iwe kwa kalamu?wakat hajui hata kuandika
 
natumia NOKIA C 3 DOES IT APPLIKABO?

Nadhani unaweza ku download link .
nenda kwenye simu yako sehemu imeandikwa "market"
halafu type "Cheating spouse? How to catch" utaona hiyo app i download ..

baada ya hapo fuata maelezo jinsi ya kuweka number yake na kila kitu.
maelezo yote yako hapo baada ya ku download.
 
Hujashinda bado sababu ye anatrack number..
Kuna thread nyingine ntaleta ya jinsi ya kumtrack mtu kwa viatu, nguo , kalamu, gari etc...
Labda utembee uchi ..
Sasa kwenye viatu na nguo labda ila kwenye simu hunipati ng'o!
 
naamin hakuna mwenye kunifatilia kihivyo,kwa simu tu hawezi iwe kwa kalamu?wakat hajui hata kuandika

hahahahahahaah haya bana.

lakini usimdharau mtu kihiivyo maana kuandika ni kujifunza tu..
 
Ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.

anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.

Asante kwa mambo ya kisasa . sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
JF kwenye cellphone.

kuna apps mbili moja ajili ya Iphone na nyingine ya adroid... na bei poa kweli kuanzia $2.99US mpaka $2.42 US.

ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...sMSwyLDIxMiwiY29tLmJ1c3RlZGJvb2tzLnNweWFwcCJd

ya Iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8

yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.

so wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..

asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.

ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,

Be safe, take care.
Afrod.

mmmhhhh!!!....wewe sasa unaharibu mambo eti...lol...:A S 100:
 
Back
Top Bottom