TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Asante
Kuna mama mmoja aligundua mumewe ana nyumba ndogo
Akaanza kuifanyia nyumba ndogo zogo mara anaitumia meseji za matusi bila kutaja jina
Ujue mumewe alifanyaje? Alimwita na kuitambulisha rasmi kuwa mwenzio huyu, na ukizidi naenda kutoa mahari.
Yule mama alichoka, akawa mpole
Sasas ndio mtu wa aina hii unamwekea cha kumtrack??
Unamtrack mmbongo kweli??? Si ataongeza idadi ya wanawake ili awe huru zaidi. Na ukiwa na mpenzi mmoja tabu bora kuwa na wawili au watatu