Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

Kwa hapa ndoa nyingi zitakufa!!! Jamani huko mahakamani wako mahakimu wa kutosha kwa kesi za madai ya talaka!!! Ha ha ha!!! Hii ni kiboko!! Tumekwisha!!
 
Naacha simu kazini naenda kuchakachua wala hakuna atakayejua,halafu siku hizi kila mwenye simu yanye mtandao utamuona na kisimu kidogo cha tochi hivyo hasa wanaume hivyo kukamatwa ni kazi kubwa.

Wachakachuzi utawajua tu.
Unaacha simu kwenye gari yako katika parking ya kazini kwako, kisha unaenda kuchakachua kwa taxi, kwa sababu gari yako huenda imefungwa tracker pia (bila kujua). Kwa kuwa simu ya mchakachuzi mwenzako ipo kichwani hupati shida kudandia simu ya mtu na kumpigia mwizi mwenzako! Watu mnatisha!
 
Hii technolojia haina umuhimu sana kwa watu wanaoishi maisha ya kawaida, labda kama wanatafuta jinsi ya kuachana...

To me it is simila to suicide...

Siwezi kujaribu kitu kama hiki,

Babu DC!!
 
Nimecheka mpaka nimepaliwa...
Mbaliga???????????????

always niko safe kwa sababu ya uzee nilionao hii technology inipite tu, sihitaji kupata presha za malovee wacha wamchukue ilimradi usiku arudishe mbaliga zake nyumbani,tena atakua amenipunguzia shughuli za kuvunja nyonga zangu usiku wa manane.
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! pumbaf, ndo maana kuna jamaa aliniletea story kuwa kuna mtu anasoma msg zangu zoooote na watu ninaochat nao. Haya sasa ngoja tuone
 
Naona umuhimu wa kuanza kukuandalia talaka sasa maana umeenda hadi huku afrodenzi ngoja urudi nyumbani leo :A S angry: :fencing:
 
Last edited by a moderator:
Uamnifu ndiyo njia pekee ya kuishi na mahusiano. Hii kuhangaika kufuatilia wako na kai utafanya saa ngapi. Mambo ni mengi ya kufanya duniani humu. Kila mtu aishi na Mungu ili woga wa kudanganya uwepo.
 
Mechi za kirafiki....!!!

Mechi za kirafiki sio nzuri...bana,unaweza ukaumizwa ukashindwa kucheza mechi za uwanja wa Estadio de dragao wa nyumbani ambao utakuf
anya ushindwe kufanya mbwembwe zako uwapo uwanja huu wa nyumbani ,ukaonekana kama vile uko ugenini Allianze arena.na siunajua ukiwa nyumbani mashabiki wanakuwa na hamu kweli ya kuona Madoido yako kama ya RONALDINHO.
 
Mechi za kirafiki sio nzuri...bana,unaweza ukaumizwa ukashindwa kucheza mechi za uwanja wa Estadio de dragao wa nyumbani ambao utakuf
anya ushindwe kufanya mbwembwe zako uwapo uwanja huu wa nyumbani ,ukaonekana kama vile uko ugenini Allianze arena.na siunajua ukiwa nyumbani mashabiki wanakuwa na hamu kweli ya kuona Madoido yako kama ya RONALDINHO.

pote ni fresh mizani inabalance.....!!!!!
 
pote ni fresh mizani inabalance.....!!!!!

Hay bwana ila kumbuka tu hawa washabiki wako uwanja wa nyumbani ESTADIO DE DRAGAO Huwa muda wote wakiwa uwanja wa nyumbani wanakuwa kama na mzimu fulani kichwani.....au unazi wa sio tu kutaka ushindi bali wanashangilia mwanzo mwisho,mbona utatamani mpira uishe au kila wakati unatamani utoe mpira nje upate kupumua... uwanja wa "nyumbani" nomaaaa,ukute umeenda ugenini kama Nou camp,au Old Trafford,obvious utarudi hoi kwa mchakamchaka wa huko.
 
Ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.
Duuu hii nouma!! mkuu afrodenzi mm natumia nokia E5 nifanyeje kupata haya mavitu?
anyway jambo moj limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.

Asante kwa mambo ya kisasa . sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
JF kwenye cellphone.

kuna apps mbili moja ajili ya Iphone na nyingine ya adroid... na bei poa kweli kuanzia $2.99US mpaka $2.42 US.

ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...sMSwyLDIxMiwiY29tLmJ1c3RlZGJvb2tzLnNweWFwcCJd

ya Iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8

yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.

so wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..

asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.

ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,

Be safe, take care.
Afrod.
Duu hii nouma!! Sasa mkuu mm natumia nokia E5 nisaidie jinsi ya kupata haya mavitu.
 
Afrodenz binadamu hakamatiki unakumbuka ile methali ***** mchokoe pweza mwanadamu hawezekaniki..
watu wanapanga kukutana hata kwa gmail,yahoo ,twitter hehehe ..mama watoto,baba watoto anahangaika kudowload hizo software mwisho wa siku hapati kitu....ila ni nzuri hiyo watu wataanza kuogopa Asprini umekamatwa vile unavyowapanga kama treni la mwakyembe
 
Last edited by a moderator:
Si aina hizo tu hata simu zingine nyingi tu zina software zake za kuweza ku track kila jambo,in fact siyo simu tu waweza hata kumpa mtu key holder kama zawadi lakini ina record kila kitu,na kwawkeli ukitaka matatizo na umpendae au hata watu shughulika na haya mambo! kuna njia nyingi sana tofauti tofauti.
 
Kwa sisi mabingwa wa ku-cheat:

1... Tuna namba zaidi ya mbili na simu zaidi ya mbili - ya pili inafahamika kwa mtu mmoja tu...!

2... Tunapokwenda kucheat lazima kuzima simu kabla ya ku-move from point A to B..!

3... Tunapokwenda kucheat "tunasahau" simu nyumbani"...!
 
Back
Top Bottom