Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,829
Mi wasiwasi wangu ulikuwa kwa sisi wenye mabosi wawekezaji tu.
Ingekuwa taabu sana.
Saa ingine unaenda kupiga dili za nje ya ofisi yako,mara uwaambie ndo unatoka TRA...
Mara uko kwenye foleni ya kumwona secretary wa katibu wa wizara,ili akupe appointment..
Si njaa ingezidi?!
Halafu mji wenyewe huu ulivokuwa mgumu!