Asavali. Nahisi atakuwa Madame B kakuibia pasiwedi yako. Mida hii weekend anakuwa kishautwika anamwaga maneno mingi.kuna mtu kaiba pasiwedi, si unaona hata anavyokwote sio staili yangu?
Mie huwa naandika juu kwote chini, huyu anaandika chini kwote juu.
Rekebisha kauli, havimezani bali kimoja kinammeza mwenzake.wewe jua tu vile vitu vikimezana
wewe jua tu vile vitu vikimezana
Unapoamua kuolewa ni jambo jema. Ila kuna mambo lazima uyajue mapema na ya sikupe pressure ya kuahirisha ndoa au kukataa tamaa. Kuna usemi usemao wanaume mama yao mmoja, huu usikusumbue kabisa. Si lazima awe malaaya, mlevi, mpigaji nk
Kila Mmoja ana hulka zake. Vitu vya kuangalia, anajua kumake love- kusex, anakusikiliza, anajali. Kama anazo sifa kuu tatu inatosha sana na ni mwanzo mzuri. Ila kama sifa hizi tatu hana wewe jiandae kuteseka na ndoa
Kuna baadhi ya wanaume wanatatizo la kutojua kumake love or kusex. Na hii hukufanya hamu yako ya mapenzi isitimie. Madhara yake ni hasira, kutojiamini na kukupelekea kukumbuka wapenzi wa zamani au kutafuta wapya. Pia utamdharau sana mumeo
Kama hakusikilizi basi utahisi kudharauliwa siku zote na kujiona mnyonge. Ni vizuri ukaona unasikilizwwa kwwenyye michango yako ya kifamilia na upenzi. Pia kama anakusikiliza kwa kila kitu na kisha hakujali pia itakuumiza. Ni vizuri akajali kwa kukuonyesha upenzi. Haya ndio mapeenzi ya dhati
weekend njema
wewe jua tu vile vitu vikimezana
kuna kumezana kwa hisia na kumezana kwa kukata kitu tu
my kaka HorsePower je wifi anakizi hivi vigezo vya Smile au tuanze timbwili?
Sex ni namba moja hasa kwa wadada wenye uwezo wa kujitunza wenyewe (independent).
Kuna rafki wa sister wangu alikuwa na mume mwenye pesa sana.
Kila mwaka yule dada alikuwa anaenda nchi aitakayo na mwanae; mume yuko busy kutafuta noti.
Cha kushangaza hata mimi niliyekuwa mdogo (o'level by then) nilikuwa najua kuwa yule dada ni bingwa wa viserengeti; na wengine huwa anasafiri nao nje ya nchi; kwa pesa ya mumewe...wengine mumewe anawajua...yeye anawatambulisha kama business partners, au vidampa wake kwani alikuwa na mabiashara makubwa mmewe kamfungulia.
Mi kuna siku nikamuuliza dada yangu, rafiki yake vipi? Mbona mumewe anampa kila kitu; yani kila kitu kiasi kuwa kila mwanamke alikuwa anatamani awe kwenye position yake...dada akanambia hata yeye alishamuuliza kwa nini hatulii; akamwambia mumewe anajua kutoa ela tu; lakini wanaweza pitisha miezi mitatu hawajagusana. Na ndio maana wana mtoto mmoja tu.
Mwisho wa siku ndoa ilikufa (ni long story) na yule dada alishakufa na HIV.
Kwa hiyo hayo mambo ya sijuhi pesa ni kwa ma house wife...wanawake wengi wa mujini pesa si tatizo...wanataka mume si kaka.
unataka kusema kijijini sex sio tatizo?sex ni namba moja hasa kwa wadada wenye uwezo wa kujitunza wenyewe (independent).
Kuna rafki wa sister wangu alikuwa na mume mwenye pesa sana.
Kila mwaka yule dada alikuwa anaenda nchi aitakayo na mwanae; mume yuko busy kutafuta noti.
Cha kushangaza hata mimi niliyekuwa mdogo (o'level by then) nilikuwa najua kuwa yule dada ni bingwa wa viserengeti; na wengine huwa anasafiri nao nje ya nchi; kwa pesa ya mumewe...wengine mumewe anawajua...yeye anawatambulisha kama business partners, au vidampa wake kwani alikuwa na mabiashara makubwa mmewe kamfungulia.
Mi kuna siku nikamuuliza dada yangu, rafiki yake vipi? Mbona mumewe anampa kila kitu; yani kila kitu kiasi kuwa kila mwanamke alikuwa anatamani awe kwenye position yake...dada akanambia hata yeye alishamuuliza kwa nini hatulii; akamwambia mumewe anajua kutoa ela tu; lakini wanaweza pitisha miezi mitatu hawajagusana. Na ndio maana wana mtoto mmoja tu.
Mwisho wa siku ndoa ilikufa (ni long story) na yule dada alishakufa na hiv.
Kwa hiyo hayo mambo ya sijuhi pesa ni kwa ma house wife...wanawake wengi wa mujini pesa si tatizo...wanataka mume si kaka.
Unapoamua kuolewa ni jambo jema. Ila kuna mambo lazima uyajue mapema na ya sikupe pressure ya kuahirisha ndoa au kukataa tamaa. Kuna usemi usemao wanaume mama yao mmoja, huu usikusumbue kabisa. Si lazima awe malaaya, mlevi, mpigaji nk
Kila Mmoja ana hulka zake. Vitu vya kuangalia, anajua kumake love- kusex, anakusikiliza, anajali. Kama anazo sifa kuu tatu inatosha sana na ni mwanzo mzuri. Ila kama sifa hizi tatu hana wewe jiandae kuteseka na ndoa
Kuna baadhi ya wanaume wanatatizo la kutojua kumake love or kusex. Na hii hukufanya hamu yako ya mapenzi isitimie. Madhara yake ni hasira, kutojiamini na kukupelekea kukumbuka wapenzi wa zamani au kutafuta wapya. Pia utamdharau sana mumeo
Kama hakusikilizi basi utahisi kudharauliwa siku zote na kujiona mnyonge. Ni vizuri ukaona unasikilizwwa kwenye michango yako ya kifamilia na upenzi. Pia kama anakusikiliza kwa kila kitu na kisha hakujali pia itakuumiza. Ni vizuri akajali kwa kukuonyesha upenzi. Haya ndio mapeenzi ya dhati
weekend njema
unataka kusema kijijini sex sio tatizo?
Smile hizi ni baadhi ya sifa ambazo zitakusaidia kufanikisha kutimiza hamu ya mapenzi, lakini hazijitoshelezi kukuingiza ndani ya ndoa na kukupa amani, amani na kudumu ktk ndoa ni zaidi ya hapo. Ni vyema kwanza kuupima upendo toka kwa mwenzi wako. Pia ni vyema zaidi kuangalia tabia ambayo ndiyo kitu kikubwa maana wahuni 'players' wengi wana sifa hizo ulizozitaji hapo juu. Ni vyema sana sana kuusoma ufahamu wa huyo mumeo mtarajiwa na jitahada zake na uwezo wake wa kufikiri na kuchambua mambo juu ya maisha yenu ya baadaye kuepuke kuja kuwa na mwanaume kama binti hapo baadaye. Nasemea mwanaume kama binti (Hapa nimemnukuu lady Jay Dee) kumaanisha mwanaume anayemtegemea mwanamke kwenye kila kitu huku akitegemea ujuzi wake kitandani kama silaha ya kubweteka na kutokufikiria kufanya kazi na kuipigania familia yake. Watu wa namna hii hutumia fedha za wake zao au wapenzi wao kwenda kuhonga na kufanya vitimbwi vya namna hii kwa wanawake wengine wanaopenda vigezo kama hivi. Ni vyema kuwa makini sana ktk hili maana linaweza kusababisha kuingia kwenye ndoano badala ya ndoa kama mtoa mada anavyofikiria. Unaweza kumkubali mwanaume mzembe, mvivu, mwizi, malaya nk kwa sababu ya kuwa na sifa tatu tu za hapo juu?
Nakuonya mdongo wangu Smile pamoja na wengine wote wa humu jamvini wenye vigezo vya namna hii kama vigezo vikuu muwe makini sana na vigezo mnavoviweka manapotafuta au kufikiria kuwa na wenzi wenu wa maisha. Ni vyema kuiangalia ndoa kama taasisi kamili inayostahili uweledi mkubwa na busara ktk kuitumikia. Nawakaribisha hawa wafuatao kama Kongosho, nyumba kubwa, Kaunga, nivea, Eiyer, charminglady, gfsonwin, AshaDii na wengineo wanipe mtazamo au pengine kupingana nami juu ya mawazo yangu haya maana inawezekana nawaza ndivyo sivyo!
usemayo ni kweli HP, make hakuna player ambaye hajui mapenzi. hufanya hvo ili kuwadatisha wadada/wamama wengi ila mioyoni mwao hakuna upendo. . .
Pamoja na sifa nyingine mimi sex satisfaction ilikuwa ni kigezo kwangu...na nilikuwa naogopa kama kwenye 6X6 hatuko compatible maisha yatakuwaje kwetu sote...maana ukisema good performers ni players, mi nakataa; si wote, na kuna players wengi tu na mchezo hawaujuhi...unafanya mchezo.
Kama mnaridhishana unadhani rate ya cheating (hata kama wanasema mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja) itakuwa kubwa?Nope.
Pesa ni matokea; kikubwa mapenzi...na sex compatibility ni muhimili wa mapenzi. Ingawa tunajua kuna magonjwa n.k ambayo yanaweza fanya mtu ashuke kiwango; lakini si unaingia kwenye ndoa from day one na mtu ambaye hakufikishi.