jinsi ya kumfanya mwanamke adumu katika ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsi ya kumfanya mwanamke adumu katika ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Sep 8, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Unapoamua kuolewa ni jambo jema. Ila kuna mambo lazima uyajue mapema na ya sikupe pressure ya kuahirisha ndoa au kukataa tamaa. Kuna usemi usemao wanaume mama yao mmoja, huu usikusumbue kabisa. Si lazima awe malaaya, mlevi, mpigaji nk
  Kila Mmoja ana hulka zake. Vitu vya kuangalia, anajua kumake love- kusex, anakusikiliza, anajali. Kama anazo sifa kuu tatu inatosha sana na ni mwanzo mzuri. Ila kama sifa hizi tatu hana wewe jiandae kuteseka na ndoa

  Kuna baadhi ya wanaume wanatatizo la kutojua kumake love or kusex. Na hii hukufanya hamu yako ya mapenzi isitimie. Madhara yake ni hasira, kutojiamini na kukupelekea kukumbuka wapenzi wa zamani au kutafuta wapya. Pia utamdharau sana mumeo

  Kama hakusikilizi basi utahisi kudharauliwa siku zote na kujiona mnyonge. Ni vizuri ukaona unasikilizwwa kwwenyye michango yako ya kifamilia na upenzi. Pia kama anakusikiliza kwa kila kitu na kisha hakujali pia itakuumiza. Ni vizuri akajali kwa kukuonyesha upenzi. Haya ndio mapeenzi ya dhati
  weekend njema
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Hivi Smile, we si uliniambiaga bado u bikira mtakatifu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  niko mstari sahihi....senkyu Smile.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  okay, hii ni sehemu tu ya ndoa, mtakula nini?
  Anyway, ngoja waje wengine.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mtakatifu wa siku za mwisho
   
 6. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  me mbona kama nakumbuka hujaolewa?unayajuaje haya?
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hongera dear...mimi nipo nil mpaka sasa
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  make up utanunua kwa sex ya mme??
  Thubutu, kama hawajibiki kama baba nakuhakikishia utamkimbiza home.

  Bora ubadilishane na jogoo unywe supu ujue huna mme.

  Tena mwanamme asipokuwa anawajibika.....
  Ngoja nisiseme for PR reasons.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  umepata A+

   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wewe mtizamo wako upoje mamamdogo
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  hahaha! Ndio umesema nitakuchapa? Kwa mtindo huu ni zawadi kwenda mbele... Hapo ujihusishi dear je ukiamua?

  Ndoa Smile is SO complicated, Nimependa hapo uliposema kuwa hizo sababu tatu ni mwanzo mzuri... Ina maana umeacha nafasi ya kusema sio gurantee kuwa ukiwa na hayo hutateseka.

  Kwa mtazamo wangu na observation katika maeneo mengi ni wanawake wengi kuliko wanaume ambao hufa hamu ya kufanya mapenzi na mumewe ndani ya ndoa. Kuna wanawake mumewe hafanyi nae sex hata miezi zaidi ya mitatu na karidhika, wala hata hashtuki, wala kujiuliza kuwa mumewe ni rijali na kama anatafta sex kwengine ama lah. Ila bora mke ambae ni sex malfunction kuliko mume malfunction. Sababu siku ya mwisho mwenza atavumilia ila atatoka tu! Or in rare cases atazidi kufa na ngunge zake...
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Mtakatifu wa siku za mwisho ndio shetani wa leo..... Noted

  Ishia hapo hapo kabla sijakuchenjia...
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mwanamme abalansi vitu vyote kwa kiasi chake.

  Kitanda tu hakitoshi.

   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Smile hebu nisaidie kufuta tongotongo, kusex ndio ku-make love?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndo hivo sis najua sio hayo tu ...nimeanzia kwenye roo...nikipata muda nitamalizia
  lakini nadhani sex imepoteza ndoa nyingi pia
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  kuna mtu kaiba pasiwedi, si unaona hata anavyokwote sio staili yangu?

  Mie huwa naandika juu kwote chini, huyu anaandika chini kwote juu.
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapa tuko ukurasa mmoja.
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nimesema kwa kuanzia my dear Kongosho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hata mie lugha huwa si mzuri, ngono na kufanya mapenzi ni sawa?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wewe jua tu vile vitu vikimezana
   
Loading...