MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,159
- 12,720
- Thread starter
- #161
Mimi pia sio mpole kias icho madam, nimewah kuwawashia moto mafundi flani ivi wa furniture kipindi nipo mkoa flani kwa njia ya kukodi polisi nais hawatonisahau.Inabidi ifike wakati uache hizo huruma zako vinginevyo watu watakusumbua sana. Mm ni mpole sana lkn huu ukorofi watu wa hovyo ndio walinifundisha sababu ukikaa kilege lege wanakuchezea. Weka upole pembeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida huyu jamaa ni rafiki yangu wa muda mrefu sana ata ndugu zao akiwemo mama yake wananijua namimi ndugu zangu baadhi wanamfahamu ingawa tunakaa mikoa tofauti 🥲