Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Sasa we mchekee huyo fala, halafu wanaotoaga hayo majibu utakuta anajiamini tu ila hana lolote la kum backup. Ukute ana ndugu yake mwenye cheo ndio anamuona kama atamuokoa au demu wake anampa kiburi cha kijinga. Hawanaga watu wa maana ila anakukazia ukiingia baridi hela imeenda.

Mie nilikuwa Moshi ila nilipanga sipandi basi kuja Dar bila hela yangu kulipwa. Nishadhulumiwa hela nyingi sana. Almost 3 millions kwa sababu ya kuchukulia dhamana watu.

Ila sintokubali tena uzembe wa kupoteza hela kijinga.
Hela yangu nitairudisha tu tena ndan ya mwezi huu iwe jua au mvua maamaeee
 
Pambana bro!!!
Watanzania sio watu, kuna msenge kala hela ya wana af deal haijatiki. Wakimuamulia atajuta.
 
I'm 24

I did business with someone i know in and out not a stranger.

Sikuexpect kama tungefika uku ingawa pia huo ushahidi sion umuhimu wake maana sina mpango wa kumpeleka kwenye vyombo vya sheria zaidi ya kumalizana nae kigumugumu jinsi anavyotaka.. dawa ya moto ni moto[emoji120]
Hahaha
 
Yaan mim nikichukia kitu nakupita tu hata uwe nani sijali na nilimuambia yule police ukinifatilia tutafika mbali chezea hao hao sio mim mbele ya police wenzie,nikawa naenda pale pale simsalimii kama simuoni kabisa na hapo sina nnaemjua wala chá nani ila naamin tungefika mbali mim kwenye haki yangu unaweza kuniua nakuwaga mvumlivu ila nakuwa napiga mahesabu usiku kucha siku nikiamua weee
Chai
 
Ilitokea kwa dada mmoja hivi aisee kila nikitaka kumfata napotezea,nikienda inatokea mvua kubwa balaa lazima kitokee kitu siku moja nikasema simuachi hapo umepita mwaka nikaenda mshtaki police,akaanza kunizunguka kwa mapolice lakin alirudisha pesa na police alokuwa anashirkiana nae nikzinguana nae sitaki ajihusishe na hiyo kesii,
alianza kuwa upande wa nnaemdai,nikasema huyu police hanijui nikawa naenda kituon simsalimii nampita naenda kwa mkubwa wake, nililipwa,kama kitu haki yako pambana utapata utapata
Siku nalipwa huyo police ananiambia tuachie ya maji nilimkata jicho halaf nikaondoka moyoni nikamtukana ku… la mmamako [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hii nchi kuna watu wanaudhi ukiwa na bastola unaua
Wanawake wembamba mna nongwa 🤣🤣
 
😪😪😪 ama kweli kua uyaone zeeka uyasimulie. USIKOPESHE RAFIKI AU NDUGU wala sijui kushika udhamini utaharibu urafiki au undugu , watu wangese wangese sana
 
Huyu jamaa ananitia hasira sana jamani nais ntamfanya kitu kibaya.

Kuna siku nilipost nauza simu yangu [Samsung Note 10+] kule kwenye jukwaa la matangazo maana nilikua siitumii sasa kwenye harakati za kutafuta mteja nikaamua kumshirikisha huyu rafiki yangu akadai nimuuzie.

Nikasema fresh haina shida ila nikampa condition aje na pesa yote cash maana masuala ya kudaiana hela siyawezi akasema sawa.

siku anakuja kuchukua simu ilikua tarehe 18 December 2022 nakumbuka alinipigia simu kuniuliza nilipo nikamwambia nipo Oysterbay bar xxxxxx akanambia anatokea kuja kuchukua simu kama tulivokubaliana nikamwambia sawa ila sipo nayo apa ipo nyumbani.

Ikabidi nimuunganishe na dogo langu pale home ampe jamaa simu mi nikaendelea kumwagilia moyo.

To cut the long story short

Mshikaji alienda akalipa hela nusu ya tuliokua tumekubaliana 250k/500k.. kwa kuwa dogo anamjua jamaa ni rafiki yangu hakuona haja ya kunijulisha jinsi transaction ilivoenda akampa jamaa simu akaishia zake.

Sasa kesho yake dogo ananikabidhi pesa ndo nagundua jamaa kanifanyia uhuni contrary na makubaliano yetu akanipiga sound kuwa atanilipa hela iliyobakia before 25th December 2022, nikamwambia fresh ila nikamsisitiza anilipe iyo hela maana kashaenda kinyume na makubaliano akasema sawa nisiwaze.

Ilivofika tarehe 25 sikumcheki maana mambo yalikua mengi ukizingatia ni sikukuu nikajua atajiongeza lakini wapi. Nikamcheki tarehe 27 akanambia hajapata hela nimsikilizie akisain boom atanilipa hela yangu yote nikasema fresh..kasain boom tarehe 09 January kumcheki akawa hajibu text wala kupokea simu. Akaja kunijibu kesho yake kuwa hela ya boom yote kalipa kodi ya nyumba hela imeisha akaniahidi nimvumilie aombe hela nyumbani anilipe.

Baada ya apo napigishwa sound kama mtoto tena mjinga nisiejielewa, sijalipwa ata mia na nikimpigia simu hapokei na akipokea anajibu kwa kujihami sana plus text zenyewe ndo anajibu kama hivi jamani pesa yangu mwenyewe inanitesa [emoji22][emoji22]

Watu kama hawa tunadeal nao vp au nivae roho ya unyama nikodi polisi nimuibukie anapokaa nichukue simu yangu then nivunje urafiki.

Kinachoniuma ananijibu kwa dharau sana na anajibu au kupokea simu kwa kujiskia na hajanilipa hata mia kwenye hio hela iliyobakia[emoji22][emoji22]

Nina muda mrefu sana sijawa na stress kias hiki.

Ingekua mchana ndo kanijibu hivi huyu dogo leo angejuta ashukuru Mungu ntaamka hasira zikiwa zimeisha.

Naombeni ushauri na mbinu za kuweza kupata hii hela au simu kutoka kwa huyu rafiki yangu[emoji120]

Mnisamehe kwa uandishi wangu mbovu maana huyu jamaa kanivuruga sana View attachment 2507621
kaichukue simu yako
 
Watu nawadai hawalipi,i dont understand this toka juzi na sijadai riba wala chochote zaidi ya kudai hela yangu.
Its my last memory,bora niwe na roho mbaya tu
Mi naanza kuomba hela yangu🙅‍♂️🙆‍♂️
 
Vi

Vipi ulilipwa au ulichukua simu yko...
 
Back
Top Bottom