Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Huyu jamaa ni bahati tu sina namba ya mamake maana nilikua nayo sasa juzi baada ya kuona jamaa ananizungusha kucheki namba ya bi mkubwa wake kwenye simu siioni na sjui imetokomelea wap wakati nilikua nayo[emoji848] bahati yake
Mimi wala sikumfuata mzazi wake hata mmoja
Walishangaa tu ugeni mtoto wenu anadaiwa barua hii hapa
 
Nimechukizwa na upuuzi mlioufanya na huyo unayemuita rafiki..huko Chuo sijui mnasoma upumbavu gani.

Plan 1...Una laki 2 na 50 mpe uchukie Simu, yote na nini.

Plan 2...Nenda pale polisi, chukua RB ya wizi wa simu. Najua imei nk unavyo, receipt itakusaidia zaidi. Mbadilishie kibao.

Jins ya kustate police,
Ameichukua anagoma nayo. Kwisha.

Zile laki mbili, ukamkabidhi pale pale police wagawane uchukur Sim yako
 
Mimi wala sikumfuata mzazi wake hata mmoja
Walishangaa tu ugeni mtoto wenu anadaiwa barua hii hapa
Wazazi wake wapo mkoani ingawa sjui wanapokaa.

hii mbinu ingenifaa sana maana wazazi wake wote wapo vizuri kiuchumi..ningepata hela yangu kilaini sana
 
Nimechukizwa na upuuzi mlioufanya na huyo unayemuita rafiki..huko Chuo sijui mnasoma upumbavu gani.

Plan 1...Una laki 2 na 50 mpe uchukie Simu, yote na nini.

Plan 2...Nenda pale polisi, chukua RB ya wizi wa simu. Najua imei nk unavyo, receipt itakusaidia zaidi. Mbadilishie kibao.

Jins ya kustate police,
Ameichukua anagoma nayo. Kwisha
Chuo tunakomoana tu kwenye mitihani wala hatufundishani vitu vidogo vidogo kama ivi

Asante kwa ushauri [emoji120]
 
Chukua ubani Mashtakhaa
choma unuie " Kama mimi Ditto nguku bendu wa zabanga hii simu Samsung Note 10 niliinunua kwa jasho langu na nmedhurumiwa, ikiwa ni haki yangu ntaipata kama sio haki Inshaallah"

afu potezea
mshukuru Mwenyezi Mungu Allah subhanah wa Taala
Dada mbabaifu wewe! 😂😂
 
Huyu jamaa ananitia hasira sana jamani nais ntamfanya kitu kibaya.

Kuna siku nilipost nauza simu yangu [Samsung Note 10+] kule kwenye jukwaa la matangazo maana nilikua siitumii sasa kwenye harakati za kutafuta mteja nikaamua kumshirikisha huyu rafiki yangu akadai nimuuzie.

Nikasema fresh haina shida ila nikampa condition aje na pesa yote cash maana masuala ya kudaiana hela siyawezi akasema sawa.

siku anakuja kuchukua simu ilikua tarehe 18 December 2022 nakumbuka alinipigia simu kuniuliza nilipo nikamwambia nipo Oysterbay bar xxxxxx akanambia anatokea kuja kuchukua simu kama tulivokubaliana nikamwambia sawa ila sipo nayo apa ipo nyumbani.

Ikabidi nimuunganishe na dogo langu pale home ampe jamaa simu mi nikaendelea kumwagilia moyo.

To cut the long story short

Mshikaji alienda akalipa hela nusu ya tuliokua tumekubaliana 250k/500k.. kwa kuwa dogo anamjua jamaa ni rafiki yangu hakuona haja ya kunijulisha jinsi transaction ilivoenda akampa jamaa simu akaishia zake.

Sasa kesho yake dogo ananikabidhi pesa ndo nagundua jamaa kanifanyia uhuni contrary na makubaliano yetu akanipiga sound kuwa atanilipa hela iliyobakia before 25th December 2022, nikamwambia fresh ila nikamsisitiza anilipe iyo hela maana kashaenda kinyume na makubaliano akasema sawa nisiwaze.

Ilivofika tarehe 25 sikumcheki maana mambo yalikua mengi ukizingatia ni sikukuu nikajua atajiongeza lakini wapi. Nikamcheki tarehe 27 akanambia hajapata hela nimsikilizie akisain boom atanilipa hela yangu yote nikasema fresh..kasain boom tarehe 09 January kumcheki akawa hajibu text wala kupokea simu. Akaja kunijibu kesho yake kuwa hela ya boom yote kalipa kodi ya nyumba hela imeisha akaniahidi nimvumilie aombe hela nyumbani anilipe.

Baada ya apo napigishwa sound kama mtoto tena mjinga nisiejielewa, sijalipwa ata mia na nikimpigia simu hapokei na akipokea anajibu kwa kujihami sana plus text zenyewe ndo anajibu kama hivi jamani pesa yangu mwenyewe inanitesa [emoji22][emoji22]

Watu kama hawa tunadeal nao vp au nivae roho ya unyama nikodi polisi nimuibukie anapokaa nichukue simu yangu then nivunje urafiki.

Kinachoniuma ananijibu kwa dharau sana na anajibu au kupokea simu kwa kujiskia na hajanilipa hata mia kwenye hio hela iliyobakia[emoji22][emoji22]

Nina muda mrefu sana sijawa na stress kias hiki.

Ingekua mchana ndo kanijibu hivi huyu dogo leo angejuta ashukuru Mungu ntaamka hasira zikiwa zimeisha.

Naombeni ushauri na mbinu za kuweza kupata hii hela au simu kutoka kwa huyu rafiki yangu[emoji120]

Mnisamehe kwa uandishi wangu mbovu maana huyu jamaa kanivuruga sana View attachment 2507621
Mkuu jamaa anakumudu nini mbona anajibu kibabe

Chamsingi usifanye kitu kibaya relax usimtafte fanya kama umesahau mvizie alipo chukua simu ondoka nayo hivo vingine achana navyo mi mmoja nilimwachia elfu60 aishi nayo naona napoteza muda kwa kutaftana ila siku akijichanganya tukakutana simu hana
 
Hayo maneno yako ujue yatamponza huyu jamaa
Kudai hela ni vita kama kupambana na pepo mchafu. Ikibidi tunapelekana polisi tu. Kuna mtu nilimswekaga ndani akatoa hela chapu tu.

Ni mgosi ila alikuwa na majibu ya kisenge senge sana. Kama huyo mtoa mada hapo. Nilimsaka sana akawa hapokei simu ila siku moja nikatoka na mkuu wa kituo nikaenda kumchota kama fala kwenye kabaa kamoja. Jamaa alikuwa muuza carrot maeneo ya Bonite.

Nilipanga mission moja ya kimafia sana na muhuni mmoja wa kuitwa n
Ndama. Huyu jamaa alikuwa ni mtukutu aliofanya mission nyingi za hatari hadi kufikia Central police anaenda kama sebuleni kwake na mkuu wa kituo wakawa washkaji ila aliamua kustaafu uharamia. Ukimuona kwa macho ni kipande ya mtu na ana scarface.

Nikampa vocha akamseti boya kuwa ana plan za kuja kuchukua mzigo wa carrot anatokea chugga. Kamvuta vizuri mgosi akajaa kwenye 18. Ilikuwa ni kumbeba mkuu wa kituo tu na kwenda eneo la tukio. Kufika jamaa akamvutia kwenye gari ile kafika anaingia anakutana na Sura yangu aliingia baridi kisenge. Tukamuweka mtu kati 🤣🤣🤣 mbona hela alitoa maana aliingizwa ndani saa 2 usiku.

Kumbe aliekuwa anamtia kiburi ni fala mmoja ambaye ni dereva tax anaendesha gari ya mchizi wangu ambaye tunakula nae bia sana jamaa ana mtandao wa askari ila mi nilimchukua mkuu wa kituo.

Ilibidi asawazishe tu kwa kwenda kumuwekea dhamana ila kwa sharti kwamba akitoka tu alipe hela yangu maana mgosi na dereva wake wa Tax ni mashemeji. Kweli within 3 days hela akawa kalipa yote.
 
Katika maisha yako ukitaka uishi kwa amani basi trust no one, maswala ya pesa yanagombanisha mpaka ndugu sembuse rafiki. Huyo nenda polisi mfungulie kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu, ongea na polisi adakwe akae ndani hakika atakulipa. Inashangaza ana deni lako na mali yako still anakutisha kuwa utaishia kuona pesa kwenye sms? Nenda serekali ya mtaa karipoti, usikubali stori sijui atakulipa hana pesa aweke dhamana kitu chake.. Mwisho, be very careful na hawa watu wanaojiita marafiki,,
 
Kudai hela ni vita kama kupambana na pepo mchafu. Ikibidi tunapelekana polisi tu. Kuna mtu nilimswekaga ndani akatoa hela chapu tu.

Ni mgosi ila alikuwa na majibu ya kisenge senge sana. Kama huyo mtoa mada hapo. Nilimsaka sana akawa hapokei simu ila siku moja nikatoka na mkuu wa kituo nikaenda kumchota kama fala kwenye kabaa kamoja. Jamaa alikuwa muuza carrot maeneo ya Bonite.

Nilipanga mission moja ya kimafia sana na muhuni mmoja wa kuitwa n
Ndama. Huyu jamaa alikuwa ni mtukutu aliofanya mission nyingi za hatari hadi kufikia Central police anaenda kama sebuleni kwake na mkuu wa kituo wakawa washkaji ila aliamua kustaafu uharamia. Ukimuona kwa macho ni kipande ya mtu na ana scarface.

Nikampa vocha akamseti boya kuwa ana plan za kuja kuchukua mzigo wa carrot anatokea chugga. Kamvuta vizuri mgosi akajaa kwenye 18. Ilikuwa ni kumbeba mkuu wa kituo tu na kwenda eneo la tukio. Kufika jamaa akamvutia kwenye gari ile kafika anaingia anakutana na Sura yangu aliingia baridi kisenge. Tukamuweka mtu kati 🤣🤣🤣 mbona hela alitoa maana aliingizwa ndani saa 2 usiku.

Kumbe aliekuwa anamtia kiburi ni fala mmoja ambaye ni dereva tax anaendesha gari ya mchizi wangu ambaye tunakula nae bia sana jamaa ana mtandao wa askari ila mi nilimchukua mkuu wa kituo.

Ilibidi asawazishe tu kwa kwenda kumuwekea dhamana ila kwa sharti kwamba akitoka tu alipe hela yangu maana mgosi na dereva wake wa Tax ni mashemeji. Kweli within 3 days hela akawa kalipa yote.
Kweli haya mambo nmegundua yanajitaji ukatili tu.
 
Kweli haya mambo nmegundua yanajitaji ukatili tu.
Sasa we mchekee huyo fala, halafu wanaotoaga hayo majibu utakuta anajiamini tu ila hana lolote la kum backup. Ukute ana ndugu yake mwenye cheo ndio anamuona kama atamuokoa au demu wake anampa kiburi cha kijinga. Hawanaga watu wa maana ila anakukazia ukiingia baridi hela imeenda.

Mie nilikuwa Moshi ila nilipanga sipandi basi kuja Dar bila hela yangu kulipwa. Nishadhulumiwa hela nyingi sana. Almost 3 millions kwa sababu ya kuchukulia dhamana watu.

Ila sintokubali tena uzembe wa kupoteza hela kijinga. Kudhulumiwa inakushushia sana credibility kama mwanaume ukiwa hivyo hata wanawake utakuwa hukai nao sababu wanakuona upo so soft.
 
Back
Top Bottom