Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

So sad[emoji22] ila tushapitia ups and downs pamoja mpaka kuja kuitana marafiki sio mchezo.

We'd known each other way back 2016 till now[emoji22]
Kuna namna fulan unakuta Ww unamtrust sana mtu fulan. Kumbe si mwema na huenda atajakuumiza sana. Sasa kwa vile kuna Malaika wa Mungu na utendaji wake ataleta kisa chochote ili akuoneshe ass yake. Na uone the Real person in him sasa uking'ang'ana nae huko mbele usije kumlaumu Mungu wala shetani. Hiyo nayo ipo. Wakat mwingne tunatakiwa kupoteza vyetu vya thaman kwa usalama wetu.
 
Nimeangalia conversation zenu mpaka nimekuonea huruma, mi mtu anayeandika 2ache badala ya tuache au cn badala ya Sina siwezi kudeal nae

Huyu akishakupa pesa zako achana nae, Mimi mtu anayetuma sms za hivo hua namuona hayupo serious kabisa, kama ni mwanaume siwezi kufanya nae deal yoyote na kama ni Binti hua nakaa nao mbali kabisa

Sipendi hio aina ya uandishi na waandishi wenyewe
Ucwe ivo mkuu
Wengn ha2wez kuandk maneno yte

😂😂😂🏃‍♀️
 
Mkuu kumdai mtu hela ni kazi sana kwa kweli ngoja tu nakubali kuwa mimi ni dhaifu ukizingatia alikua rafiki yangu pete na kidole. Najuta[emoji22]
Huyo jamaa kwa sms hizo hakupi hela.
Unaweza kuwa mwema ila kuna pimbi mmoja tu akakufanya kuwa mkatili. Mimi mwenyewe naelekea huko hata nguvu za giza nitatumia. Lazima tufundishane namna ya kuishi.
 
Dogo ni mwanachuo af namimi ratiba zangu zinanibana sana nashindia Dukani natoka usiku ko kumpata face2face saiv ni ngumu mpaka niazimie kuwa niyeye tu nadeal nae ndo ntafanikiwa kumpata.. ngoja tuone mpaka iyo jumatano
Mwanachuo anajiaminije kiasi hicho na huku akijua hana haki.? Makubwa.!
 
Nimeangalia conversation zenu mpaka nimekuonea huruma, mi mtu anayeandika 2ache badala ya tuache au cn badala ya Sina siwezi kudeal nae

Huyu akishakupa pesa zako achana nae, Mimi mtu anayetuma sms za hivo hua namuona hayupo serious kabisa, kama ni mwanaume siwezi kufanya nae deal yoyote na kama ni Binti hua nakaa nao mbali kabisa

Sipendi hio aina ya uandishi na waandishi wenyewe
Ukisoma hizo conversation utagundua huyo jamaa ni tapeli. Hana nia ya kumlipa pesa, hapo kichwa ana jibu kuwa atamfanya nini.
 
Mkuu upo kama mimi tu binafsi sipendi aina hiyo ya uandishi.
Huyu dogo nmekuja kugundua kuwa anatumia aina iyo ya uandishi baada ya kuanza kumdai.. before kipindi tunawasiliana kama marafiki ilikua ni kwa njia ya calls tu, hatukua na muda wa kuchat.
 
Kuna namna fulan unakuta Ww unamtrust sana mtu fulan. Kumbe si mwema na huenda atajakuumiza sana. Sasa kwa vile kuna Malaika wa Mungu na utendaji wake ataleta kisa chochote ili akuoneshe ass yake. Na uone the Real person in him sasa uking'ang'ana nae huko mbele usije kumlaumu Mungu wala shetani. Hiyo nayo ipo. Wakat mwingne tunatakiwa kupoteza vyetu vya thaman kwa usalama wetu.
Aisee[emoji22][emoji120]
 
Ukisoma hizo conversation utagundua huyo jamaa ni tapeli. Hana nia ya kumlipa pesa, hapo kichwa ana jibu kuwa atamfanya nini.
Basi tu inatia hasira ila uzuri ana ushahidi afate tu utaratibu atapata stahiki yake bila kuvunja Sheria maana wajinga kama Hawa walishasababisha wengine kupigwa nyavu bila matarajio

Story for another day!
 
Mkuu upo kama mimi tu binafsi sipendi aina hiyo ya uandishi.
Huyu dogo nmekuja kugundua kuwa anatumia aina iyo ya uandishi baada ya kuanza kumdai.. before kipindi tunawasiliana kama marafiki ilikua ni kwa njia ya calls tu, hatukua na muda wa kuchat.
tangu 2016 hamjawahi kuchat? ni kuongea tu..au sjaelewa
 
Mkuu upo kama mimi tu binafsi sipendi aina hiyo ya uandishi.
Huyu dogo nmekuja kugundua kuwa anatumia aina iyo ya uandishi baada ya kuanza kumdai.. before kipindi tunawasiliana kama marafiki ilikua ni kwa njia ya calls tu, hatukua na muda wa kuchat.
Fata njia sahihi upate haki yako, ikiwezekana mpeleke kwenye vyombo vya Sheria, make sure una risiti maana Hawa polisi nao wakipata loophole watakusumbua!! Usitumie ubabe huyu mpuuzi asije akakuletea majanga

Wanaasema shetani anakuja kwa njia nyingi
 
Back
Top Bottom