Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Fata njia sahihi upate haki yako, ikiwezekana mpeleke kwenye vyombo vya Sheria, make sure una risiti maana Hawa polisi nao wakipata loophole watakusumbua!! Usitumie ubabe huyu mpuuzi asije akakuletea majanga

Wanaasema shetani anakuja kwa njia nyingi
Mkuu binafsi nina degree ya sheria. Izi mambo za kumpeleka mdaiwa wako mahakamani ni kupoteza pesa na muda bora kudeal nae kitaa zaidi ili tufundishane maisha yanavotakiwa kuwa maana biashara ilifanyika kirafiki sana.. no receipt wala kielelezo chochote cha kuashiria kuwa tulifanya biashara, just three of us[emoji120]
 
Una miaka mingapi?
Unafuta ushahidi
I'm 24

I did business with someone i know in and out not a stranger.

Sikuexpect kama tungefika uku ingawa pia huo ushahidi sion umuhimu wake maana sina mpango wa kumpeleka kwenye vyombo vya sheria zaidi ya kumalizana nae kigumugumu jinsi anavyotaka.. dawa ya moto ni moto[emoji120]
 
Mzee nenda kwa mtaalamu vijana wengi sana wauza simu ni washirikiana hawaogopi madeni wala kudhurumu wengi sana kkoo ndio wapo ivyo wanamiliki IST kwa kudhurumu watu ,yaani ata ukimdai utakuwa na nguvu ya kumdai ata ukipajua anapokaa utaona uzito najua ayo mazingira ya mjini yalivyo

Ilitokea kwa dada mmoja hivi aisee kila nikitaka kumfata napotezea,nikienda inatokea mvua kubwa balaa lazima kitokee kitu siku moja nikasema simuachi hapo umepita mwaka nikaenda mshtaki police,akaanza kunizunguka kwa mapolice lakin alirudisha pesa na police alokuwa anashirkiana nae nikzinguana nae sitaki ajihusishe na hiyo kesii,
alianza kuwa upande wa nnaemdai,nikasema huyu police hanijui nikawa naenda kituon simsalimii nampita naenda kwa mkubwa wake, nililipwa,kama kitu haki yako pambana utapata utapata
Siku nalipwa huyo police ananiambia tuachie ya maji nilimkata jicho halaf nikaondoka moyoni nikamtukana ku… la mmamako [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hii nchi kuna watu wanaudhi ukiwa na bastola unaua
 
I'm 24

I did business with someone i know in and out not a stranger.

Sikuexpect kama tungefika uku ingawa pia huo ushahidi sion umuhimu wake maana sina mpango wa kumpeleka kwenye vyombo vya sheria zaidi ya kumalizana nae kigumugumu jinsi anavyotaka.. dawa ya moto ni moto[emoji120]

Unaoneka muoga acha uoga kwenye haki Usikubali mtu akuonee kabisa kodi hata baunsa mbili kabebe tv na sofa sepa
 
Ilikutokea kwa dada mmoja hivi aisee kila nikitaka kumfata napotezea,nikienda inatokea mvua kubwa balaa lazima kitokee kitu siku moja nikasema simuachi hapo umepita mwaka nikaenda mshtaki police,akaanza kunizunguka kwa mapolice lakin alirudisha pesa na police alokuwa anashirkiana nae nikzinguana nae sitaki ajihusishe na hiyo alianza kuwa upande wa nnaemdai,nikasema huyu police hanijui nikawa naenda kituon simsalimii nampita naenda kwa mkubwa wake, nililipwa,kama kitu haki yako pambana utapata utapata
Siku nalipwa huyo police ananiambia tuachie ya maji nilimkata jicho halaf nikaondoka
Ila hii nchi kuna watu wanaudhi ukiwa na bastola unaua
Kuna jamaa wapo wengi wanaroga wadeni wao yaani live bila chenga
 
Mkuu binafsi nina degree ya sheria. Izi mambo za kumpeleka mdaiwa wako mahakamani ni kupoteza pesa na muda bora kudeal nae kitaa zaidi ili tufundishane maisha yanavotakiwa kuwa maana biashara ilifanyika kirafiki sana.. no receipt wala kielelezo chochote cha kuashiria kuwa tulifanya biashara, just three of us[emoji120]
Just play safe
 
I'm 24

I did business with someone i know in and out not a stranger.

Sikuexpect kama tungefika uku ingawa pia huo ushahidi sion umuhimu wake maana sina mpango wa kumpeleka kwenye vyombo vya sheria zaidi ya kumalizana nae kigumugumu jinsi anavyotaka.. dawa ya moto ni moto[emoji120]
Ila unaonekana umejawa huruma sjui km utawezana nae, aisee shotii ya 250k ni kubwa
Kazaaa kijana usimuangalie usoni.
 
Imebidi sasa nicheke
Yaan mim nikichukia kitu nakupita tu hata uwe nani sijali na nilimuambia yule police ukinifatilia tutafika mbali chezea hao hao sio mim mbele ya police wenzie,nikawa naenda pale pale simsalimii kama simuoni kabisa na hapo sina nnaemjua wala chá nani ila naamin tungefika mbali mim kwenye haki yangu unaweza kuniua nakuwaga mvumlivu ila nakuwa napiga mahesabu usiku kucha siku nikiamua weee
 
Unaoneka muoga acha uoga kwenye haki Usikubali mtu akuonee kabisa kodi hata baunsa mbili kabebe tv na sofa sepa
Sikuagi na uoga kwa mtu ambae sipo attached nae, bado nafikiria jinsi tulikuwa marafiki kwa muda mrefu almost 7yrs af ndo mwisho wetu ndo unaenda kuwa ivi kweli🥲
 
Yaan mim nikichukia kitu nakupita tu hata uwe nani sijali na nilimuambia yule police ukinifatilia tutafika mbali chezea hao hao sio mim mbele ya police wenzie,nikawa naenda pale pale simsalimii kama simuoni kabisa na hapo sina nnaemjua wala chá nani ila naamin tungefika mbali mim kwenye haki yangu unaweza kuniua nakuwaga mvumlivu ila nakuwa napiga mahesabu usiku kucha siku nikiamua weee
Naumia una roho ngumu kunizidi.

how comes nakua na roho soft soft ivi as if sio mwanaume🥲
 
🤣🤣dah wabongo nuks.kunamshkaji sio rafikiyangu ila imetokea kuwa karibu nae kwakua nafahamiana na kakaake.sasa kunakazi kakaake kamlengesha kwangu ili nimfanyie ilichukua Kama sikumbili.
msenge anakuja ofisini nademu wake kuangalia kazi inavyo enda anashinda hapohapo kazini.nikajiuliza kwanini huyu msenge haendi namrembo kula Bata kazi kukaatu ofisini kwangu wakati viwanja unavuka barabara tuu unaenda kuinjoi

kumbe mshkaji Hana hata mia hela ya vifaa yenyewe anaunga unga ila ukimcheki bonge labosi kumbe tapeli

picha inaanza kazi imeisha nadai changu anasema ngoja kunamtu ananitumia.badae akaniambia nipe msaidizi wako twende sehemu akachukue Nampa msaidizi wangu aende nae mara ananiambia nitakutumia🤣🤣🤣🤣tangu mwaka Jana mwezi wa6 hadileo hajanilipa.laki 7 yangu ilanajua iposiku atakuja tuu.
 
Back
Top Bottom