Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Mkuu kwanza pole kwa hili sakata.

Kwa mujibu wa hizi sms zenu, majibu yake yanaonesha hiyo pesa ndio imetoka ntolee hatorudisha tena.

Mlikubaliana umuuzie kwa 500k, ila alipokukosa na ukamdirect kwa mdogo wako hili ndio lilikua kosa la kimkakati. Alitumia mwanya huo kufanya hujuma yake.

Baada ya kupata simu alishaamua liwalo na liwe,hata urafiki ukivunjika mkawa maadui basi yeye atakua ametoka na kitu kwenye huo urafiki wenu, yaani yeye atakua winner na ww utakua mpotezaji.

Kabla sijakushauri je una txt zinazoonesha makubaliano yenu kwamba simu utamuuzia kwa 500k?
 
Tatizo apa Dar sina connection na police yeyote, nina ndugu yangu mmoja ni OCD central police mkoa flani ila sipendi kumshirikisha personal issues zangu maana naona sio vizuri kutumia cheo chake kujinufaisha.

Af huyu jamaa naemdai pia Baba ake amewah kuwa RPC mkoa xxxx so nikifikiria pia mambo ya polisi naona kama sitotoboa[emoji22]
Ongea na police mtoe 50 Ila mguu kwa mguu unaogopa sanaa tatizo unamuogopaje mtu kwenye haki yako usiogope mtu
 
Mkuu kwanza pole kwa hili sakata.

Kwa mujibu wa hizi sms zenu, majibu yake yanaonesha hiyo pesa ndio imetoka ntolee hatorudisha tena.

Mlikubaliana umuuzie kwa 500k, ila alipokukosa na ukamdirect kwa mdogo wako hili ndio lilikua kosa la kimkakati. Alitumia mwanya huo kufanya hujuma yake.

Baada ya kupata simu alishaamua liwalo na liwe,hata urafiki ukivunjika mkawa maadui basi yeye atakua ametoka na kitu kwenye huo urafiki wenu.

Kabla sijakushauri je una txt zinazoonesha makubaliano yenu kwamba simu utamiizia kwa 500k?
Kwa bahati mbaya sana kuna siku nilichat nae tulivurugana sana iyo siku nikaamua kufuta chattings zake maana kila nilipokua naziona zilikua zinantia hasira mpaka nais kupasuka..

ata izo tulizochat leo nmezifuta maana sitak tena kuziona naweza kwenda kwake saiv nikakiwashe.. nakuaga na maamuzi mabaya sana nikiwa na hasira Mungu ndo anajua

Huwa nina principle moja maishanj, mtu akiniviruga kwa njia ya mawasiliano nafuta kila kitu chake kuanzia picha, chattings n.k isipokua namba tu especially kama ni wa kiume

Makubaliano pia nakumbuka tulifanya kwa njia ya maongezi Kwenye simu
 
Mtu unadaiwa alafu unavimba huu ujasiri sijui watu wanautoaga wapi aisee yaan nimepata hasira nimekumbuka ile mijibwa yangu hadi urafiki uliisha mambo haya haya jitu linakopa alafu halitaki kulipa. Huyo jamaa yako hamna kusamehe kula nae sahani moja akulipe pesa yako
 
Huyo sio rafiki yako amejenga urafiki na wewe kwasababu anajua kuna benefits

He doesn't take you as a friend anakuchukulia km wakuja
So sad[emoji22] ila tushapitia ups and downs pamoja mpaka kuja kuitana marafiki sio mchezo.

We'd known each other way back 2016 till now[emoji22]
 
Mtu unadaiwa alafu unavimba huu ujasiri sijui watu wanautoaga wapi aisee yaan nimepata hasira nimekumbuka ile mijibwa yangu hadi urafiki uliisha mambo haya haya jitu linakopa alafu halitaki kulipa. Huyo jamaa yako hamna kusamehe kula nae sahani moja akulipe pesa yako
Nimempatia mpaka j'tano baada ya apo ni jino kwa jino.. Mungu anisaidie nimnyooshe huyu dogo[emoji22]
 
Asante sana Depal

haya mambo yasikie tu kwa jirani yasikukute.. kudeal na marafiki ni mtihani[emoji22]
Kwani hayajanikuta? Yamenikuta december last year.

Nilimwazima mtu laki 2
Yule demu
Khaaa
Alichonifanyiaa
Siku ya makubaliano ikapita mpk ikapita tena.
Nikimwambia ananiita majina matam tam sijui ili nisikasirike.
Alikuja nilipa kwa awamu.. kamaliza january 20.

Na january hii hii tena mtu kasema ya chap nilipie mahali mtandao ukikaa sawa nakurudishia.
Mpk dk hii 50k kasoro naona imepotea
 
hamna kitu sipendi kama kulipwa kwa awamu[emoji22] pole aisee izi mambo za kuazimana pesa ni changamoto.

Hata izo kampuni za kukopesha zinakiona chamoto

Wabongo [emoji119]
 
Back
Top Bottom