Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

Mrudishie hela yake, chukua simu yako, uyo ni mwehu mtauana.
Asante kwa ushauri mkuu, ngoja tuone izo siku nilizompatia kama atakamilisha akishindwa itabidi nitumie plan B kupata haki yangu[emoji120]
 
oi huyo sio mwana mzee ingekuwa ni kitu chenye thamani ndogo ningekushauri uachane nae na ukate mazoea in peace ila kwa level hiyo mzee na hali ilivyo ngumu nenda polisi chukua polisi wako wawili waoneshe jinsi mwamba anavyokujibu dharau alafu waambie mchomeshe alafu utaona kipigo atachopatiwa akikamatwa utamuonea huruma, na mali yako itarudi. ALafu muachege urafiki na mawaki.
 
Huyu jamaa ananitia hasira sana jamani nais ntamfanya kitu kibaya.

Kuna siku nilipost nauza simu yangu [Samsung Note 10+] kule kwenye jukwaa la matangazo maana nilikua siitumii sasa kwenye harakati za kutafuta mteja nikaamua kumshirikisha huyu rafiki yangu akadai nimuuzie.

Nikasema fresh haina shida ila nikampa condition aje na pesa yote cash maana masuala ya kudaiana hela siyawezi akasema sawa.

siku anakuja kuchukua simu ilikua tarehe 18 December 2022 nakumbuka alinipigia simu kuniuliza nilipo nikamwambia nipo Oysterbay bar xxxxxx akanambia anatokea kuja kuchukua simu kama tulivokubaliana nikamwambia sawa ila sipo nayo apa ipo nyumbani.

Ikabidi nimuunganishe na dogo langu pale home ampe jamaa simu mi nikaendelea kumwagilia moyo.

To cut the long story short

Mshikaji alienda akalipa hela nusu ya tuliokua tumekubaliana 250k/500k.. kwa kuwa dogo anamjua jamaa ni rafiki yangu hakuona haja ya kunijulisha jinsi transaction ilivoenda akampa jamaa simu akaishia zake.

Sasa kesho yake dogo ananikabidhi pesa ndo nagundua jamaa kanifanyia uhuni contrary na makubaliano yetu akanipiga sound kuwa atanilipa hela iliyobakia before 25th December 2022, nikamwambia fresh ila nikamsisitiza anilipe iyo hela maana kashaenda kinyume na makubaliano akasema sawa nisiwaze.

Baada ya apo napigishwa sound kama mtoto tena mjinga nisiejielewa, sijalipwa ata mia na nikimpigia simu hapokei na akipokea anajibu kwa kujihami sana plus text zenyewe ndo anajibu kama hivi jamani pesa yangu mwenyewe inanitesa [emoji22][emoji22]

Watu kama hawa tunadeal nao vp au nivae roho ya unyama nikodi polisi nimuibukie anapokaa nichukue simu yangu then nivunje urafiki.

Kinachoniuma ananijibu kwa dharau sana na anajibu au kupokea simu kwa kujiskia na hajanilipa hata mia kwenye hio hela iliyobakia[emoji22][emoji22]

Nina muda mrefu sana sijawa na stress kias hiki.

Ingekua mchana ndo kanijibu hivi huyu dogo leo angejuta ashukuru Mungu ntaamka hasira zikiwa zimeisha.

Naombeni ushauri na mbinu za kuweza kupata hii hela au simu kutoka kwa huyu rafiki yangu[emoji120]

Mnisamehe kwa uandishi wangu mbovu maana huyu jamaa kanivuruga sana View attachment 2507621

IMG_0962.jpg
 
So sad[emoji22] ila tushapitia ups and downs pamoja mpaka kuja kuitana marafiki sio mchezo.

We'd known each other way back 2016 till now[emoji22]
Pole sana aise, Ila usimchekee hyu mtu maana ukimuacha ataendeleza mazoea. Fanya maamuzi magumu km ni kukodi polisi au vp...kwa kufanya hivo atakuheshimu na hatorudia kukuletea dharau & mazoea ya kijinga
 
Mkuu kumdai mtu hela ni kazi sana kwa kweli ngoja tu nakubali kuwa mimi ni dhaifu ukizingatia alikua rafiki yangu pete na kidole. Najuta[emoji22]
Unapoteza hela na rafiki juu. Hapo utakuta kuna kahaba anamshauri ama anampa kichwa.

Kunabbaadhi ya majana jike yako radh kuua urafiki wa wapenz wao kwa ajili ya Tamaa zao binafsi. Hapo ukute nae kaahidiwa kitu. Ama ameomba kitu fulan. Lakin mwanamke mwenye akili atamshauri akulipe hata nusu nusu. Yaan laiti ungefunuliwa ukajua sababu. Ungechokaa. HAKUNA MWANAUME DUNIANI ATAKOROFISHANA AMA KUGOMBANA NA MWENZIE AMA HATA WATOTO WAKE WA KUWAZAA PASIPO UWEPO WA KINYAMKERA PEMBENI.

Hakuna mwanaume muasi wala mwenye roho ya kuasi bila mwanamke pembeni.
 
Mkuu unaonekana una upole wa kuelekea kwenye uzembe mimi ningemtandika mawashi za shingo angeitoa hiyo hela kwa mchango wa ukoo wao, anakujibu kwa dharau sana unashindwa nini kumface ukamtegue hata kidole? nyie wakuu mmekaaje kaaje aisee jifunzeni hata ngumi basi.
 
Mzee nenda kwa mtaalamu vijana wengi sana wauza simu ni washirikiana hawaogopi madeni wala kudhurumu wengi sana kkoo ndio wapo ivyo wanamiliki IST kwa kudhurumu watu ,yaani ata ukimdai utakuwa na nguvu ya kumdai ata ukipajua anapokaa utaona uzito najua ayo mazingira ya mjini yalivyo
 
oi huyo sio mwana mzee ingekuwa ni kitu chenye thamani ndogo ningekushauri uachane nae na ukate mazoea in peace ila kwa level hiyo mzee na hali ilivyo ngumu nenda polisi chukua polisi wako wawili waoneshe jinsi mwamba anavyokujibu dharau alafu waambie mchomeshe alafu utaona kipigo atachopatiwa akikamatwa utamuonea huruma, na mali yako itarudi. ALafu muachege urafiki na mawaki.
najuta kuumbwa na moyo wa huruma na huu upole wangu kwa kweli vinaniponza.

Asante kwa ushauri mkuu [emoji120]
 
Unapoteza hela na rafiki juu. Hapo utakuta kuna kahaba anamshauri ama anampa kichwa.

Kunabbaadhi ya majana jike yako radh kuua urafiki wa wapenz wao kwa ajili ya Tamaa zao binafsi. Hapo ukute nae kaahidiwa kitu. Ama ameomba kitu fulan. Lakin mwanamke mwenye akili atamshauri akulipe hata nusu nusu. Yaan laiti ungefunuliwa ukajua sababu. Ungechokaa. HAKUNA MWANAUME DUNIANI ATAKOROFISHANA AMA KUGOMBANA NA MWENZIE AMA HATA WATOTO WAKE WA KUWAZAA PASIPO UWEPO WA KINYAMKERA PEMBENI.

Hakuna mwanaume muasi wala mwenye roho ya kuasi bila mwanamke pembeni.
Aisee[emoji22]
 
Mkuu unaonekana una upole wa kuelekea kwenye uzembe mimi ningemtandika mawashi za shingo angeitoa hiyo hela kwa mchango wa ukoo wao, anakujibu kwa dharau sana unashindwa nini kumface ukamtegue hata kidole? nyie wakuu mmekaaje kaaje aisee jifunzeni hata ngumi basi.
Dogo ni mwanachuo af namimi ratiba zangu zinanibana sana nashindia Dukani natoka usiku ko kumpata face2face saiv ni ngumu mpaka niazimie kuwa niyeye tu nadeal nae ndo ntafanikiwa kumpata.. ngoja tuone mpaka iyo jumatano
 
Nimempatia mpaka j'tano baada ya apo ni jino kwa jino.. Mungu anisaidie nimnyooshe huyu dogo[emoji22]
Mkuu acha tu hizi habari naona wewe huwezi usije ukaumizwa bure, try upande wa amani mfuate mtu anaemuheshimu au nenda kwao ukawaeleze huenda watakusaidia, usifanye lolote la kutumia nguvu hata hao polisi watakugeuka tu kwa sura hii.
 
Mi hua si deal na watu wanaandika maneno mkato mkato hata kama ni mwanamke
Tatzo dogo ana dharau sana lazima nideal nae kwakweli.. isingekua dharau zake ata yeye anajua nisingemdai iyo hela ningemwachia tu au ningempa option ya yeye kunilipa siku akipata hela.

Tatizo dharau [emoji22][emoji22]
 
Mimi ni mpole sana na nina huruma sana mkuu, naona kaamua kutumia izo weakness zangu kujinufaisha[emoji22]

Asante kwa ushauri wako [emoji120]
Too much is harmful mkuu, kila kitu kwa kiasi. Huyo unaemwita rafiki yako, kwake wewe tayari ushakua adui kisa kudai haki yako, chukua hatua.
 
Tatzo dogo ana dharau sana lazima nideal nae kwakweli.. isingekua dharau zake ata yeye anajua nisingemdai iyo hela ningemwachia tu au ningempa option ya yeye kunilipa siku akipata hela.

Tatizo dharau [emoji22][emoji22]
Nimeangalia conversation zenu mpaka nimekuonea huruma, mi mtu anayeandika 2ache badala ya tuache au cn badala ya Sina siwezi kudeal nae

Huyu akishakupa pesa zako achana nae, Mimi mtu anayetuma sms za hivo hua namuona hayupo serious kabisa, kama ni mwanaume siwezi kufanya nae deal yoyote na kama ni Binti hua nakaa nao mbali kabisa

Sipendi hio aina ya uandishi na waandishi wenyewe
 
Back
Top Bottom