Jinsi ya kukata pombe within 1 minute

Jinsi ya kukata pombe within 1 minute

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,825
Reaction score
3,092
Unaweza ukawa umekunywa kiwango kikubwa cha pombe mpka kushindwa kutembea na nk sasa hii ndio njia rahisi iliyogundulika ya kukata pombe chukua ndimu kisha paka kwenye unyayo wa mguu yote miwili magicaly pombe itakata it work 100% get test today
 
Ikiwa umefakamia mipombe kwa pesa yako mwenyewe halafu uikate? si hasara hiyo?

hapa nazungumzia ofa si unajua kuna mijitu inataka sifa kukomoa wenzao kwa makreti ya bia ili wazime
 
Ni kweli kuna jamaa yetu alishawahi kuzima kuna mtu akatoa wazo kama hili tumsugue na kipande cha ndimu kwenye nyayo zake muda si mrefu fahamu zikamrudia.
 
Hiyo ni 1st Aid labda kwa mtu aliyelewa chakari maana mlevi yu mwenywe hataweza kufanya hayo
 
Kukata ndimu tu na kuipaka mguuni kwanza inatakiwa ujiandae na ndimu zako mfuko japo hata moja pamoja na kikatio
 
Unaweza ukawa umekunywa kiwango kikubwa cha pombe mpka kushindwa kutembea na nk sasa hii ndio njia rahisi iliyogundulika ya kukata pombe chukua ndimu kisha paka kwenye unyayo wa mguu yote miwili magicaly pombe itakata it work 100% get test today

Kwa zoezi moja inahitajika ndimu ngapi??

Isije kuwa gunia zima??
 
Back
Top Bottom