Jinsi ya kukata pombe within 1 minute

Jinsi ya kukata pombe within 1 minute

Wala sio mazingaombwe ni kweli inafanya kazi vizuri kabisa. Hii nimewahi ijaribu sana tu.
 
Niliona kijijini ka kijana kamoja hivi kalilewa hadi network ikakata, wamama watu wazima wacha waogope baada ya kuona jamaa kila akiamshwa haamki. Ghafla akaja mama moja na ndimu yake akapa kwa unyayo jaamaa akaamumka utadhani si yeye.
 
Ah, kumbe kuna maana mpya ya 'kukata' pombe siku hizi!

Me nikajua ni utaratibu wa kwenda mpya wa kwenda kununua pombe asubuhi! Kumbe ni kujitia hasara kwa ulichotomia!

Ni sawa na mlevi anaetapika! Aagh atarudisha gharama zangu! Labda kama amejinunulia mwenyewe! Na hata hiyo itabid apate hata viboko mbili!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Unazungumzia pombe aina gani?Hata Konyagi nayo?
 
Hiyo ndo tiba yangu, "spirit of nation" inaponielemea.
 
Unaweza ukawa umekunywa kiwango kikubwa cha pombe mpka kushindwa kutembea na nk sasa hii ndio njia rahisi iliyogundulika ya kukata pombe chukua ndimu kisha paka kwenye unyayo wa mguu yote miwili magicaly pombe itakata it work 100% get test today

hio itakuwa hasara sasa!
 
inategemea na pombe sidhani....kama chapumu au gongo inakatika hivyo.gongo inataka saa kumi na mbili uko kwa mama muuza
 
Back
Top Bottom