Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
kwani starehe ya pombe ni nini?naomba mnifahamishe.
Starehe ya pombe ni kunywa nyingi tu, hasa zikiwa za ofa
kwani starehe ya pombe ni nini?naomba mnifahamishe.
hapana hii ina effect haraka sana
ni kanimu kamoja tu kakte kisha kaweke kwenye suti yako ukizidiwa we paka
Mimi cjui tofauti ya ndimu m.a limao, naomba nifahamishwe kama vyote vitakata!
ndimu ni vile vidogo vidogo saizi ya tunda 4 za zabibu zikiungana. limao ni haya makubwa yenye pimples milimao ipo mingi tu hapa dsm, nenda gengeni watakupa ndim, ila angalia wasije wakakutia ndim, wakakupa limao