t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,120
- 16,961
Umesahau kutoa angalizo kwa wenye mishono haiwahusu...usije tuulia wake zetu....akakaza tumbo akiachia mshono fumuuu utumbo kuleee.... ebu waambie haraka sasa ivi.
Kweli !! Nimecheka sana mkuu!
Umesahau kutoa angalizo kwa wenye mishono haiwahusu...usije tuulia wake zetu....akakaza tumbo akiachia mshono fumuuu utumbo kuleee.... ebu waambie haraka sasa ivi.
Naona kama umeongea sanaaa! ebu tafuta aloleta huo uzi mie sie hooooo...........Wewe nani kakwambia nani anatka zoezi la kukata kiuno wewe leo ndo unajua haya wakati wenzako siku nyingi
wanasema kila kitu utapata kwa mchina,kope kama huna nzuri mchina unapata,kama huna bikra,mchina anakupatia...kucha..nywele...hips mata..k ila nyonga hakuna ni juhudi zako mwenyewe na mwanammke nyoga eeeh so mimi hili somo nimelipenda ...nitaachwa hadi lini kisa ugogo.bora nitoke
shukrani Kimbweka
ahahaa nilidhani ni wewe ndugu yangu si unajua tena kwa mambo hayo huna mpinzani? huyu ndugu yako nini?Umechanganya madesa smile huyo ni Kimbweta teh teh teh teh ....................!:rockon:
ahahaa nilidhani ni wewe ndugu yangu si unajua tena kwa mambo hayo huna mpinzani? huyu ndugu yako nini?
nakuaminia mkuu wa leo niko hapa!Hahahaaa mie huwa nafundisha kwa vitendo kabisa huyu kwa nadharia ..........!
Kweli !! Nimecheka sana mkuu!
Hivi bado kata viuno ni issue ya ngono siku hizi? Kwanza na maradhi haya kama napiga nje sitaki kabisa mambo ya kukata viuno maana raba zenyewe siku hisi si imara hazistahimili sarakasi!! Mambo kifo cha mende na kumaliza chapu chapu!!! Ya nini mtu unaviringishwa wewe kazi ni kuchungulia ndom tu kama haijachomoka!!