Jinsi ya kukata kiuno..

Jinsi ya kukata kiuno..

mdogo wangu,
nakumbuka mama k alituambia haya mambo tunayazungumzia chumbani tu......
Akitokea hapa unalo la kujibu, shauri yako:nono:.
teh watu walikuwa wananitosa eti mimi mchaga gogo ,watanikomaje mtaani nazunguka kama feni
 
Afadhali mkuu toa somo zaidi ikiwezekana video ya darasa,maana wanawake wamekua ma gogo tuu siku hizi!
 
teh watu walikuwa wananitosa eti mimi mchaga gogo ,watanikomaje mtaani nazunguka kama feni
uje umfundishe na dada yako huku,maana naangalia ustaarabu wa wasambaa,wamakonde
 
Aiseeee!

Umenikumbusha mbali nilipokua 16yrs nilienda kumsalimia bibi Tanga kufika tuuhata siku 3 hazikuchukua muwekeni ndani
lazima apigiwe ngoma duh nilichukia mpaka basi miezi miwili ndani huko kiuno mtu vibibi vika kata kiuno kama paka chongo.
lakini ukitoka uko aaaaaaaaaaa! huna tabu ya kukizungusha unampeta kulia nakushoto...
 
Kwanza hili zoezi kwaajili ya kwenda kwenye show au?
 
Hivi bado kata viuno ni issue ya ngono siku hizi? Kwanza na maradhi haya kama napiga nje sitaki kabisa mambo ya kukata viuno maana raba zenyewe siku hisi si imara hazistahimili sarakasi!! Mambo kifo cha mende na kumaliza chapu chapu!!! Ya nini mtu unaviringishwa wewe kazi ni kuchungulia ndom tu kama haijachomoka!!
 
wewe kazi unafanya mida gani? ama ndio wale 400,000 tulioambiwa na kawambwa?
 
kukata kiuno mpaka ku-cum, hii naiona leo!!
 
Mmu hoyeeee........hoyeeeee!!!!!
Mnanchekesha.
Source: Faizafoxy
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mbali nilipokua 16yrs nilienda kumsalimia bibi Tanga kufika tuuhata siku 3 hazikuchukua muwekeni ndani
lazima apigiwe ngoma duh nilichukia mpaka basi miezi miwili ndani huko kiuno mtu vibibi vika kata kiuno kama paka chongo.
lakini ukitoka uko aaaaaaaaaaa! huna tabu ya kukizungusha unampeta kulia nakushoto...

Wewe nani kakwambia nani anatka zoezi la kukata kiuno wewe leo ndo unajua haya wakati wenzako siku nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom