Nzige The Bless
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 990
- 738
Ok kiongozi, vizuri umefanikisha zoezi.Nimejisajili tena kwa emil nyingine na nimeactivate.
Ok kiongozi, vizuri umefanikisha zoezi.Nimejisajili tena kwa emil nyingine na nimeactivate.
Pamoja mkuuAsante sana bro, nilishafanikisha hili zoezi
Aminia sana ndugu
ok. nilijua pia kama umeitwa au kutoitwa unapata pia email. maana application sites nyingi huwa unapata email on both ocationsKupata taarifa ya kuitwa au kutokuitwa huwe unaangalia apo Kwenye my application...
ok. kwa hiyo pamoja na kuapply naweza pia nisiitwe?Hyo email ni notification tu kuwa ombi lako limepokelewa. Haina uhusiano wa moja kwa moja na kuitwa au kutokuitwa ila kusudi uitwe ni lazima uwe umetuma maombi na umepata hyo email.
Sent using Jamii Forums mobile app
System ikikubali lazima uitwe???...umesikia hizo ajira za babu yako?duh. nilijua system ikikukubali lazima uitwe
Hizo zikitangazwa zitaombwa na nchi nzima, ndio ule usaili wa kufanyika uwanja wa Taifa.Afu kule mbona cjawah kuona nafas kwa form six kushuka chini.? Au ndo wanahitajika wa vyuo tuu.?
Daaah mana naona mm na diploma yangu uchwara cjawah kuona ht kaz mojaHizo zikitangazwa zitaombwa na nchi nzima, ndio ule usaili wa kufanyika uwanja wa Taifa.
hahah. noma sana mkuu. wenye nchi yao watabaki kuwa juu tuSystem ikikubali lazima uitwe???...umesikia hizo ajira za babu yako?
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Occasions not ocationsok. nilijua pia kama umeitwa au kutoitwa unapata pia email. maana application sites nyingi huwa unapata email on both ocations
hapo kwenye kutuma message wakiwa serious wataweza lakin kwenye kupigiana simu si rahisi maana sometime wanashortlist watu zaidi ya buku hapo sijui utapigia wangapi bt kwakuwa sisi ndo wenye shida basi hakuna namna tujitahid japo kwa wiki mara mbili kutembelea site yao .Majibu sahihi ni hivi, ukituma application kwenye ajira aportal, Unatakiwa uwe unatembelea mara kwa mara akaunti yako ya ajira portal, utakuta majibu wamekuwekea kwenye application status. ukikuta umeandikwa shortlisted ujue umepata interview, watakuwa wamekuandikia tarehe ya interview na sehemu gani interview inafanyika. na ukikuta application status rejected maana yake hujapata interview, ukikuta application status pending maana yake application yako bado ipo kwenye mchakato.
Shida ya ajira portal ni kwamba hawakupigii simu kukujulisha kwamba umepata interview na wala hawakutumii email ya interview.
yaani majibu utapata kwenye account ya ajira portal. Na hii ni hasara kwa mwombaji kwasababu sio kila mtu anakuwa anatumia internet kila siku. kuna majukumu ya kila siku ambayo mtu anakuwa yuko bize. Ningeshauri ajira portal iwe inatuma hata msg za sms za kuwajulisha interview kwa waombaji wote kama inaona gharama kupiga simu kwa kila mwombaji. mbona taasisi zingine zinapiga simu moja kwa moja kwa mwombaji kumjulisha kwamba ana interview.
Kweli nine loses hapoOccasions not ocations
Application status yangu mimi huwa haibadiliki. Always inanyesha received mkuuMajibu sahihi ni hivi, ukituma application kwenye ajira aportal, Unatakiwa uwe unatembelea mara kwa mara akaunti yako ya ajira portal, utakuta majibu wamekuwekea kwenye application status. ukikuta umeandikwa shortlisted ujue umepata interview, watakuwa wamekuandikia tarehe ya interview na sehemu gani interview inafanyika. na ukikuta application status rejected maana yake hujapata interview, ukikuta application status pending maana yake application yako bado ipo kwenye mchakato.