manzi james
Senior Member
- Sep 29, 2017
- 194
- 135
Hhhhhhhhhh yawezekana!!kwa hiyo anahitaji na scholarship ya nauli?
Hhhhhhhhhh yawezekana!!kwa hiyo anahitaji na scholarship ya nauli?
Ni wengi wahanga kipengele hikiJaribu kutoa link za scholarship kwa wenye 2nd lower class!! Tuone kama inawezekana nasi tukajoin
Tumefika kwa uweza Wa mungu tusaidie bure I have been broke hapo tz .. Yani I was getting Crazy kabisa msomi sina cha kufanya so I have to help wengine wasiangukie kwenye stress nilizo pitia for 1 yearSafi sana mleta uzi huna roho ya kwanin aysee
Bado tunaendelea vizuri tulipofika ndio penye twende kazi mtoa mada kongole
Mimi sijawahi sema on medicine or pharmacy nilishaeleza system za medicine sizielewi labda unaongea na mtu mwengineUyu jamaa ni stupid and hopeless kabisa, yani anadanganya watu wamfuate PM kwa ajili ya ufadhili wa masomo level ya diploma courses za clinical medicine na pharmacy halafu ukimfuata PM analeta ujinga eti subirieni utaratibu, kama kitu huwezi usiposti kwenye social media. Usitake ufahari wakati kitu huna uwezo nacho.
Mkuu umesema Easy University to get Admission ni Bonn University na Best Place ni Frankfurt, je Bonn ipo Frankfurt? Ama ulikuwa una maanisha nini hapa? Naomba clarification please.Unatakiwa use na kiasi cha 8000£ kwa mwaka.Pia kuna application fee 70£ ukianza kuapply then 14£ kwa kila chuo utakacho apply,sio vyuo vyote vina application fee lakini.Undergraduate lazima use unajuwa kijerumani B2.Ada inategemea na jumbo gani upon lakini ingerenal haizidi 500£.
Easy university to get admission is Bonn university.
Best place ni Frankfurt sababu box ni we we na nguvu zako.GPA 3.5 angalau.
Mungu ni mwema
Bonn na Frankfurt ni sehemu tofautiMkuu umesema Easy University to get Admission ni Bonn University na Best Place ni Frankfurt, je Bonn ipo Frankfurt? Ama ulikuwa una maanisha nini hapa? Naomba clarification please.
Kuna link nimeweka utasearchSawa, Hivyo ni chuo gani kipo Frankfurt?
Ipo wapi hiyo Link? Mbona siioni kwenye uzi huu?
Kwenye update soma tena post no1Ipo wapi hiyo Link? Mbona siioni kwenye uzi huu?
Jamaa unataka kukimbia Sa kule Makapuku unatuachaje?Mimi nielekeze mbinu za kuzamia huko Deutschland mechoka kula vumbi huku
Makapuku is nothing without money bob..
Mkuu edwayne endelea kufunguka basi mkuu vp hakuna namna ya kuingia Germany sio kwa kusoma ila ukifika ndo tufanye michongo ya kuapply?