Jinsi ya kuja kusoma ulaya(Germany+France and some Scandinavian)

Unatakiwa uwe na kiasi cha 8000£ kwa mwaka.Pia kuna application fee 70£ ukianza kuapply then 14£ kwa kila chuo utakacho apply,sio vyuo vyote vina application fee lakini.Undergraduate lazima use unajuwa kijerumani B2.Ada inategemea na jimbo gani u lakini ingerenal haizidi 500£.
Easy university to get admission is Bonn university.
Best place ni Frankfurt sababu box ni we we na nguvu zako.GPA 3.5 angalau.
Mungu ni mwema
 
Bado tunaendelea vizuri tulipofika ndio penye twende kazi mtoa mada kongole

Uyu jamaa ni stupid and hopeless kabisa, yani anadanganya watu wamfuate PM kwa ajili ya ufadhili wa masomo level ya diploma courses za clinical medicine na pharmacy halafu ukimfuata PM analeta ujinga eti subirieni utaratibu, kama kitu huwezi usiposti kwenye social media. Usitake ufahari wakati kitu huna uwezo nacho.
 
Mimi sijawahi sema on medicine or pharmacy nilishaeleza system za medicine sizielewi labda unaongea na mtu mwengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa use na kiasi cha 8000£ kwa mwaka.Pia kuna application fee 70£ ukianza kuapply then 14£ kwa kila chuo utakacho apply,sio vyuo vyote vina application fee lakini.Undergraduate lazima use unajuwa kijerumani B2.Ada inategemea na jumbo gani upon lakini ingerenal haizidi 500£.
Easy university to get admission is Bonn university.
Best place ni Frankfurt sababu box ni we we na nguvu zako.GPA 3.5 angalau.
Mungu ni mwema
Mkuu umesema Easy University to get Admission ni Bonn University na Best Place ni Frankfurt, je Bonn ipo Frankfurt? Ama ulikuwa una maanisha nini hapa? Naomba clarification please.
 
Back
Top Bottom