Jinsi ya kuishi na boss mjinga mjinga

Jinsi ya kuishi na boss mjinga mjinga

Mimi ninaboss wangu alikuwa ananizinguaga sana nilichofanya nilimvizia jioni watu wametoka wote nikaingia ofisini kwake kisha nikafunga na funguo uku nina dokezo langu mkononi,yeye mwenye akasema mbona unafunga mlango Mimi sikumjibu nikampa dokezo akapitisha bila kuuliza,kesho yake nikachukua mpunga wangu nikasepa mpaka Leo aniletei mambo ya kingese.
 
Natumaini mko salama mkizidi kulisongesha japo duh usawa mbovu huu, hatukawii kutumbuana ili tuonekane na sisi tupo tupo.

Napenda kuwapa hizi tips chache za kuweza kuishi kwa amani na hawa mabosi kazi wa kidjitali wasiojua kazi zao.

1.Kumbuka kutimiza wajibu wako na hata wake bila kinyongo.

2.Msifiesifie kuwa unajisikia raha sana kufanya kazi chini yake.

3.Mzibie mapengo ya ujinga wake.

4.Bila kutaja jina la mtu, mwambie kuna watu wanamroga lakini wewe utahakikisha anabakia hapo kwani babu yako ni fundi wa huo utaalam.

5.Kama ni mlevi hakikisha kila mara wageni hasa Madiwani na Mkurugenzi anapokuja unamtetea sana kuwa jana mmefanya kazi mpaka usiku mnene na sasa ameenda kuoga, maana ulimuacha kazini.

6.Kama ni mzinzi hakikisha michepuko yake haigongani kazini kwa kumshtua mapema.

7.Hata akiwa hajapendeza mwambie pamba zimemkaa vizuri mno.

8.Chekacheka naye hata kama unahisi kutapika.

Ukifanya hivi kila fursa atakupa.
Mpe penzi
 
8216e0316f8b546231da292ac0efedf4.jpg
kama hivi au
 
Mkuu ukimchekea sana siku unashangaa anaomba unyumba
 
Nipe nikupe mwisho wa siku tutaheshimiana tu,ya nini kuwa mtumwa na kujikombakomba?
 
Mimi ninaboss wangu alikuwa ananizinguaga sana nilichofanya nilimvizia jioni watu wametoka wote nikaingia ofisini kwake kisha nikafunga na funguo uku nina dokezo langu mkononi,yeye mwenye akasema mbona unafunga mlango Mimi sikumjibu nikampa dokezo akapitisha bila kuuliza,kesho yake nikachukua mpunga wangu nikasepa mpaka Leo aniletei mambo ya kingese.
Wee mbabe,lakini sidhani kuna fursa tena hapo.
 
If you think you're boss is stupid, you would'nt get a job if he was any smatter.........
 
Unaposema mtu hashauriki ina maana wewe hujui saikolojia ya kushauri. Hii ni skill. Kama una hata mwanao utashindwa kumhandle. Tatizo lipo kwako ila unatafuta njia ya kuwalaumu wengine
 
Si kila mtu ni counselor bana.
 
Back
Top Bottom