Jinsi ya kufua pazia la baba

Jinsi ya kufua pazia la baba

Hapo wanafua chupi.. au wanaibadilisha hiyo chupi iwe udi
Kwa harufu hiyo ya miudi yote watu hawakawii kukuita bwa bwa. Dume zima unaingia kwenye daladala harufu ya udi imehanikiza, kina Ami Faki lazima wakulipie nauli hapo. Utasikia Yakhe ushalipiwa weye.
Hapo tena utashangaa pazia la baba kila akirudi lina kinyesi, kumbe udi umevutia mabaradhuli kumfanya baba kuwa mama.
 
Daladala zetu za bongo dume unapanda unanukia udi ?? Mhhh haya
 
Kwa harufu hiyo ya miudi yote watu hawakawii kukuita bwa bwa. Dume zima unaingia kwenye daladala harufu ya udi imehanikiza, kina Ami Faki lazima wakulipie nauli hapo. Utasikia Yakhe ushalipiwa weye.
Hapo tena utashangaa pazia la baba kila akirudi lina kinyesi, kumbe udi umevutia mabaradhuli kumfanya baba kuwa mama.
Nimecheka sana hahahaha
 
Na za kwenu mnafuje? Si ndo zinachafuka kuliko za wanaume kwa siku?
 
Hivi kwenye ndoa kuna hadi kufuliana hadi boxer? Sasa mimi nitakuwa na kazi gani?
Ngoja niongeze spidi ya kutafuta mke.
Mbona mambo matamu hivi? Sikubali yanipite.
Kumbe bado hujawa double ee
 
Mama hatakiwi kuwa nalo kabisa. Anatakiwa dirisha liwe wazi saa zote ili baba akirudi aweze chungulia kadri atakavyo.
Ushìndwe na ulegee walahi! Ingawa umenichekesha asubuhi hii. ..ubarikiwe my friend! Lakini ndugu yangu ngoja nikwambie dunia ya leo bila kushirikiana kwenye kipato hamna usalama nyumbani. ..ukipata mke mwenye kipaji cha kutafuta kipato. .huyo ndiyo baraka kutoka Mbinguni. ...ukisoma MITHALI 31:10-31
 
Wanawake wa hivi duniani sijui kama wapo..Labda wale 40 tulioahidiwa huko peponi
 
Back
Top Bottom