Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Huwa unafanya haya?
Tupo tumejaa sana tuWanawake wa hivi duniani sijui kama wapo..Labda wale 40 tulioahidiwa huko peponi
Nafanyaga ndioUnafanyaga haya?
Haijaningia aiseeMpendwa hii kozi vipi kwanza?..Imekuingia
Mbona wewe unavua walizofua wenzio??Kufua koteee akavue mwengine
Ntakuchapa!! Nenda kalaleMbona wewe unavua walizofua wenzio??
Hayo ndo mnayaitaje..Mahaba??Tupo tumejaa sana tu
Bora aisee..Hiki kibarua kizitoHaijaningia aisee
Mahaba niue nipondeponde kama nyanyaHayo ndo mnayaitaje..Mahaba??
[emoji42] [emoji125] [emoji125] [emoji42] [emoji42]Ntakuchapa!! Nenda kalale
Hapo kwenye matumizi ya Udi, hapana. ....
Nafanyaga ndio
Kwa harufu hiyo ya miudi yote watu hawakawii kukuita bwa bwa. Dume zima unaingia kwenye daladala harufu ya udi imehanikiza, kina Ami Faki lazima wakulipie nauli hapo. Utasikia Yakhe ushalipiwa weye.
Hapo tena utashangaa pazia la baba kila akirudi lina kinyesi, kumbe udi umevutia mabaradhuli kumfanya baba kuwa mama.
Nihonge kwanza nikupe mdogo wanguNtafutie wa kunifanyia kama haya.
Nihonge kwanza nikupe mdogo wangu