Unamaanisha FaizaFoxy hamfulii kufuli mjamaa??
Wacha kiherehere, kasome post namba 19.
wewe kwani huna washing machine?Mambo ya kizamaani.
Kwanza mwanamme anaevaa chupi huyo ana walakin. Mwanamme anavaa boxer tena "disposable".
Yanini mambo ya kufuliana kutiana sugu za mikono.
Mnashangaza!

HahahahKufua kote inavaliwa siku moja bora nmezaliwa mwanaume
Kufua koteee akavue mwengineMAISHA YA NDOA
JINSI YA KUTUNZA CHUPI ZA BWANA
Fua chupi za bwana pekee bila kuchanganya na nguo nyingine,
Fua kwa sabuni yenye haruf nzuuur ya kuvutia ifue taratibu uikague kila, upande
Kisha suuza kwa maji safi rudia tena kusuuza ili isibakie na sabuni hata kidogo
Chukua maji safi chukua udi wowote wa vidonge tia kwenye hayo maji yaache kama dakika mbili ili udi uyeyuke vizuri tumbukiza zile chupi za bwana kwenye maji yale yenye udi,
Kisha zianike zipate jua vizuri zikauke zisiwe na unyevunyevu hata kidogo
usije mtia fangas mwana wa mwenzioo bibi upoo,
Kisha zipige pasi ili kuua vijiduu vidogo vidogo chua al-oud zitie chupi kisha chukua kitezo na udi uzifukie udi wa chati sio wakunuka moshi aaaa utaharibu bibi,
Zikunje vizuri uziweke kwenye sehemu yake maalum uizichanganye na nguo nyingine.
Akivaa bwana shurti asikie rahaa sio kila wakati anajikunakuna kujikuna amwachie teja huko bibi upooo.
Tena usimruhusu mueo kuvaa chupi moja siku mbili akirudi mihangaikon mpe maji oge umpe pensi lenye kupitisha hewa avae apumzike chupi tena
utamu upate upepo upooo.
MAISHA YA NDOA
Mambo ya kizamaani.
Kwanza mwanamme anaevaa chupi huyo ana walakin. Mwanamme anavaa boxer tena "disposable".
Yanini mambo ya kufuliana kutiana sugu za mikono.
Mnashangaza!
Sina vp unataka ukae?hana hata boifrendi wa kukutoa harara na chunusi kisirani?
HahahahahahMambo ya kizamaani.
Kwanza mwanamme anaevaa chupi huyo ana walakin. Mwanamme anavaa boxer tena "disposable".
Yanini mambo ya kufuliana kutiana sugu za mikono.
Mnashangaza!
Hahahaha jamanHapo wanafua chupi.. au wanaibadilisha hiyo chupi iwe udi