1.Jenga urafiki,jichanganye na watu
View attachment 151814
- Kama ulikuwa na uhusiano ulovunjika anzisha uhusiano mpya
View attachment 151800
- kama upo kwenye uhusiano au ndoa tumia muda mwingi kuwa na mwenza wako
View attachment 151811
- kama una watoto,spend valuable time na watoto,fanyeni kitu kwa pamoja kama familia.
View attachment 151810
View attachment 151809
View attachment 151812
2.Fanya mambo mengi uwezavyo,nenda cinema,mazoezini,theatre,out na marafiki n.k
View attachment 151801View attachment 151808
3.Pungunza malalamiko,kila mtu ana matatizo yake,be positive with everybody next to you.Shukuru kama umejaaliwa sehemu ya kuishi,milo mitatu kwa siku,afya njema,ndugu wanaokujali,watu wema wanaokuzunguka
View attachment 151802View attachment 151806
4.Epuka uvivu tumia muda wako kufanya vitu unavyopendelea kama kuogelea,kusoma vitabu au majarida,kucheza mpira,kutembea au chochote kinachokupendezea
View attachment 151803
5.Tafuta kazi nzuri itakayokupa kipato cha kuotsha na cha kuridhisha
- Kama ni mwanafunzi soma kwa bidii ili uwe na mafanikio baadae
View attachment 151804
6.Uwe na courage ya kukubali nafasi mpya zikijitokeza,mfano jirani yako akikuomba mufanye kitu pamoja kubali,huwezi kujua siku yako itaishiaje.
View attachment 151813
7.Penda kutabasamu ni nzuri kwa afya yako.Tabasamu japo mara kumi kwa siku ukisalimiana na mtu tabasamu
View attachment 151805