Dah we jamaa kweli hakuna ulichopata shuleni kabisa, kama hujui kitu usiongee uongo ongea kitu cha kueleweka na cha uhakika au soma sana
Ipo hivi, mfano mrahisi uwe kwa yule mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28, siku ya kwanza kuona siku zake mf. Leo tarehe 5 Dec, siku ya hatari ambapo yai linakuwa tayari kwa kutungisha mimba ni siku ya 14 tangu kaona siku zake, yaani itakuwa tarehe 18 dec, yai huwa na uwezo wa kukaa masaa 72 yaani siku 3, ila mbegu za mwanaume zinauwezo wa kukaa siku tatu-tano kutegemea ubora wa mbegu.
MTOTO WA JINSIA IPI?!
mwanaume anambegu zenye XY na mwanamke ana XX pekee, mbegu ya X huwa inaishi muda mrefu ila haina spidi iingiapo mwilini mwa mwanamke na mbegu ya Y inaspid sana ila haiishi muda mrefu, kama wahitaji mtoto wa kiume, yabidi kufanya mapenzi na mwanamke siku ya 13, 14 na 15 tangu aone siku zake, kwa maana kuwa hizi ni siku ambazo yai huwa linatoka na mbegu ziingiapo mwilini basi ni rahisi sana kwa Y kukimbia na kujitungisha, endapo utafanya mapenzi na mwanamke siku ya 11, na 12 kuna uwezekano mkubwa kupata mtoto wa kike maana yai linakuwa bado na mpaka litakapokuwa tayari basi kuna uwezekano mkubwa mbegu za Y kuwa zishakufa,