Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,410
Mkuu kwahyo kwenye kufanya mapenzi mwanamke anapotoa zile huwa siyo mbegu zenye Virutubishi kumbe?kumbe huwa vilainishi Tu?Hii njia mnadai wanatumia waislam (sina uhakika na hili) sidhani kama inaukweli wowote
Mwanamke hukojoa au kufika kileleni kama majibu tu y kufanya tendo kiufasaha hakuna madhara yoyote kuhusiana na utungishwaji wa mtoto
Mwanaume hakojoi tu, yeye hutoa mbegu za kutungisha, kama utasex na mkeo miaka yote afu hukojoi amini hawezi pata mimba yako labda ulee wa wengine kwa jina lako, lakini kwa mwanamke ni tofauti sana yeye kukojoa hakuhusiani na kutoa yai, aweza ishi kwenye ndoa miaka yote na akapata mpaka wajukuu na hajawahi sikia raha ya kuhondomolwa mpaka akafika kileleleni
Mimi nikajua kila mwanamke anapofanya mapenzi (haijalishi mzunguko wa mwezi) anatoa mbegu za virutubishi.
Hizi mbegu zikimzidi nguvu Shahawa za mwanaume anazaliwa mtoto wa kike
Kumbe mbegu za kiume zina XY chromosomes na yai la kike lina XX
Kwahyo zote zinachangia chromosomes na hazishindani ila ni bahati tu mtoto atatokea na XY au XX
Mtume alinukuliwa akisema:
The reproductive substance of man is white and that of woman yellow, and when they have sexual intercourse and the male’s substance prevails upon the female’s substance, it is the male child that is created by Allah’s Decree, and when the substance of the female prevails upon the substance contributed by the male, a female child is formed by the Decree of Allah.
sahih muslim: 315a
Sent using Jamii Forums mobile app