Jinsi ya kuchagua jinsia ya mtoto

Jinsi ya kuchagua jinsia ya mtoto

Dah we jamaa kweli hakuna ulichopata shuleni kabisa, kama hujui kitu usiongee uongo ongea kitu cha kueleweka na cha uhakika au soma sana.

Ipo hivi, mfano mrahisi uwe kwa yule mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28, siku ya kwanza kuona siku zake mf. Leo tarehe 5 Dec, siku ya hatari ambapo yai linakuwa tayari kwa kutungisha mimba ni siku ya 14 tangu kaona siku zake, yaani itakuwa tarehe 18 Dec, yai huwa na uwezo wa kukaa masaa 72 yaani siku 3, ila mbegu za mwanaume zinauwezo wa kukaa siku tatu-tano kutegemea ubora wa mbegu.

MTOTO WA JINSIA IPI?!
Mwanaume ana mbegu zenye XY na mwanamke ana XX pekee, mbegu ya X huwa inaishi muda mrefu ila haina spidi iingiapo mwilini mwa mwanamke na mbegu ya Y inaspid sana ila haiishi muda mrefu, kama wahitaji mtoto wa kiume, yabidi kufanya mapenzi na mwanamke siku ya 13, 14 na 15 tangu aone siku zake, kwa maana kuwa hizi ni siku ambazo yai huwa linatoka na mbegu ziingiapo mwilini basi ni rahisi sana kwa Y kukimbia na kujitungisha, endapo utafanya mapenzi na mwanamke siku ya 11, na 12 kuna uwezekano mkubwa kupata mtoto wa kike maana yai linakuwa bado na mpaka litakapokuwa tayari basi kuna uwezekano mkubwa mbegu za Y kuwa zishakufa.
Safi sana mkuu kuna mbumbumbu juu apo anadanganya watu eti 20,21.......
 
Kuna jamaa ana mabinti watatu alafu akajitahidi akabahatika kupata binti wa nne bahati mbaya kwenye operation doctors wamesema yule mwanamke aondolewe kizazi maana akishika mimba tena anaweza kuingia kwenye hatari kubwa ya kupoteza maisha.
[emoji17] duuh... Ila fresh tu hata hao wanatosha
 
Tumia Chinese calender inawork poa ! Clients wangu 5 walifanikisha kwa hiyo njia...
 
Unaweza chagua kama tu
1. utajua mzunguko wako wa hedhi ni wasiku ngapi.
2. Tambua siku zako za yai kuenguliwa(sina uwakika kama ndio lugha fasaha) ni ipi (toa siku 14 kwenye mzunguko wako ili kujua siku hali .mfano mzunguko wako ni siku 32, utachukua 32-14 = 18 kwa maana hiyo siku ya 18 toka uingie kwenye heshi ndio siku ambayo yai lako utolewa kwaajir ya utungaji wa mimba.
sasa hesabu ipo hiv:- mbegu za mwanaume zinauwezo wa kuishi ndan ya uke kwa mda wa siku tatu na kwa baadhi(ni wachache mno) wao zao zinaweza kuwa hai had siku 4-4½. Chromosome Y hii ni kwaajili ya jinsia ya kiume ina speed ila ufa haraka husurvive kwa siku mbili tu kwaiyo kama ukifanya siku 3 kabla ya siku ya upevushwaji wa yai si rahis kupata mtoto wa kike, ila ukisex kuanzia siku ya upevushwaji wa yai au siku mbili mbele ya siku ya upevushwaji unakuwa una asilimia kubwa ya kupata mtoto wa kiume.
chromosome X ni jinsia ya kike hii ina speed ndogo na inaweza survive kwa mda mrefu (huishi had siku 3) ukisex siku tatu kabla ya siku ya yai kupevushwa jua una asilimia kubwa ya kupata mtoto wa kike.

NB: Nivizur kabla ya kujaribu hiv uwe umefanya vipimo vya chromosome zako ili kujua kama vipo sawa na pia unaweza tumia vyakula kama maboga na mbegu zake ili kusaidia kuboost chromosome Y
 
Sawasawa mkuu... Noted
 
Habari za muda wakuu....
Nimesikia mitafaruku kadhaa mtaani inayotokana na wanandoa kupata watoto wa jinsia moja...

Pia nimesikia mara nyingi sana watu wakizungumzia ni mtoto/watoto wa jinsia gani wanapenda kupata, au ni kwa mpangilio gani...
Najua ni kazi ya Mungu kupanga yupi amtakaye...!

Je kuna namna yoyote mtu anaweza fanya ili kuongeza uwezekano wa kupata jinsia fulani(kiume/kike)?
Ukitaka wa kiume unafanyaje?
Ukitaka wa kike ufanyaje?
Umekosea sana. Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa kawaida (28 days), ovulation hutokea siku ya 14 tangu aone damu ya hedhi. Na mimba inaweza kutungwa iwapo sex itafanyika siku hiyo au ndani ya siku 7 kabla ya siku hiyo (maana mbegu za kiume zinaweza kuwa hai ndani ya mwili wa mwanamke kwa muda wa siku 5 - 7).

Kwa hiyo siku ya 15 na kuendelea mimba haiwezi kutunga maana yai linakuwa limeshakufa.
 
Graph-1024x683.jpg
Screenshot_2020-12-06-14-22-18.jpg
 
Kuna tafiti kadhaa na waliojaribu walipata matokeo ya kweli.

Kama ni mwanaume kuwa na kawaida ya kuoga maji moto usiku kabla ya sexy.

Unaposexy bale unapotaka kumwaga manii ya kiume jaribu kuingiza uume kwa ndani kama unakandamizia fulani hivi
FB_IMG_1607262913998.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dah eti "hakuna alichopata shuleni" [emoji38][emoji38] watu mna kejeli nzito
Sio kejeli ni matusi. Sasa hapo sijui nani hajapata chochote shuleni kati ya mimi na yeye?. Unajua badala ya kuchukia nimecheka na kusikitika zaidi. Kweli kama yeye kuna kitu amepata shuleni,hicho kitu kinamuongoza kutukana wengine?. Swali la kujiuliza je ni kweli amepata kitu cha kumuwezesha kuishi na jamii huku kitaa?
 
Mkuu sijui kama unajua kuwa xy ziko slow kuliko xx kwa hiyo ni rahisi kupata mtoto wa kike kwa kuwa tunaangalia mshindi wa kwanza wa mbio .hizo crossing ni more theoretical ndoma KE ni wengi kwenye world population
Hata survival chance XY wanayo kubwa (kwa kuwa ziko slower) kuliko XX
Ukijua hayo kupata jinsia unayotaka ni rahisi kidogo na wote wanakufundisha kutafta jinsia unayotaka wanajua hayo
Kwa mfano ukisex siku ya ovulation basi kuna chance kubwa ya kupata wakike kwakuwa mbegu zake zina speed na pia ukiwahi sana kabla kusex kabla ya ovulation unawezapata wakiume kwa kuwa mbegu zina uwezo wakusurvive hadi siku ya ushindi japo ziko slower
Nirekebishwe nilipokosea
Umekosea totally mkuu, mbengu za kiume XY zipo speed na Kati ya hizo chromosome Xna Y moja inalifespan kumbwa kulinganisha na nyingine yaan X inaishi mda mrefu kulinganisha na Y japo huwa zinafika Kwa pamoja kwenye mji WA mimba, sasa basi kwann tunasema ukisex siku mbili kabla ya siku ya hatar yaan siku ya 14 unapata mtoto WA kike ,ni hivi XY zina speed zitafika mji WA mimba kabla ya yai la kike kufika hivyo zitakaa Huko kulisubilia sasa likifika Tu chromosome Y anakuwa amekufa hivyo anakutana na X , ikumbukwe mwanamke anatoa chromosome XX .sasa zikikutana X mzima WA mwanaume baada ya kukupoteza mwenzake Y , anaenda kulingana na XX kutok Kwa mwanamke automatically mtoto WA kike anapatikana
 
Dah we jamaa kweli hakuna ulichopata shuleni kabisa, kama hujui kitu usiongee uongo ongea kitu cha kueleweka na cha uhakika au soma sana.

Ipo hivi, mfano mrahisi uwe kwa yule mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28, siku ya kwanza kuona siku zake mf. Leo tarehe 5 Dec, siku ya hatari ambapo yai linakuwa tayari kwa kutungisha mimba ni siku ya 14 tangu kaona siku zake, yaani itakuwa tarehe 18 Dec, yai huwa na uwezo wa kukaa masaa 72 yaani siku 3, ila mbegu za mwanaume zinauwezo wa kukaa siku tatu-tano kutegemea ubora wa mbegu.

MTOTO WA JINSIA IPI?!
Mwanaume ana mbegu zenye XY na mwanamke ana XX pekee, mbegu ya X huwa inaishi muda mrefu ila haina spidi iingiapo mwilini mwa mwanamke na mbegu ya Y inaspid sana ila haiishi muda mrefu, kama wahitaji mtoto wa kiume, yabidi kufanya mapenzi na mwanamke siku ya 13, 14 na 15 tangu aone siku zake, kwa maana kuwa hizi ni siku ambazo yai huwa linatoka na mbegu ziingiapo mwilini basi ni rahisi sana kwa Y kukimbia na kujitungisha, endapo utafanya mapenzi na mwanamke siku ya 11, na 12 kuna uwezekano mkubwa kupata mtoto wa kike maana yai linakuwa bado na mpaka litakapokuwa tayari basi kuna uwezekano mkubwa mbegu za Y kuwa zishakufa.
Nimekuelewa Sana jamaa wangu shida inakuja vipi unahitaji mtoto WA kike na ukapiga show siku ya 12 na siku ya hatar siku ya 14 , na ikumbukwe life span ya sperm ni siku tatu , hofu yangu ni haiwezi kusababisha mtoto WA kiume hii umepiga mwishon yaan siku ya 14
 
Kuzaliwa mtoto WA kike tafsiri yake ni mzazi WA kike alibakwa yaani aliingiliwa siku ambayo hakuwa kwenye siku za hatari yaani siku ya 14
 
Kuzaliwa mtoto WA kike tafsiri yake ni mzazi WA kike alibakwa yaani aliingiliwa siku ambayo hakuwa kwenye siku za hatari yaani siku ya 14
Na mtoto wa kiume je? Vipi kuhusu MAPACHA?
 
Angalia X na Y ni nani mwenye speed zaidi, tegeshea siku yai limeshafika mahali pake.
 
Back
Top Bottom